Fedha za maafa Kagera zakarabati shule ya CCM

Kuandika ni raha ati?

Eti shule ya CCM

Kweli mtamyooka tu, ulizoea vya dezo wengi mmekosa kula pesa zolizochangwa mnaumia.

Mkatafute pesa zenu
 
Chadema wana matatizo sana,mnataka watoto wa kagera wasisome?
Uwe unaficha upumbavu wako kwani hizo zimetolewa kwa ajili kujenga shule ya CCM?
Zile milioni 10 kila mbunge wa CCM walizohongwa mbona hakuwenda kuzijengea hiyo yenu?
 
Kuandika ni raha ati?

Eti shule ya CCM

Kweli mtamyooka tu, ulizoea vya dezo wengi mmekosa kula pesa zolizochangwa mnaumia.

Mkatafute pesa zenu
Shule ya CCM ni shule binafsi.. Si shule ya serikali..

Kwanini shule binafsi ikakarabatiwe kwa fedha zilizokusanywa ili kuwasaidia wahanga??
 
FB_IMG_1479634534903.jpg
wengine dodoma wamekula 10m
 
Bukoba. Wakati baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kagera wakilalamikia kukosa misaada iliyotolewa na wahisani kwa wathirika wa tetemeko la ardhi, imedaiwa kuwa Shule ya Sekondari ya Omumwani inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM imekarabatiwa kwa fedha hizo.

Madai hayo yalitolewa na Meya wa Manispaa ya Bukoba, Adronikus Karumuna kuwa sehemu ya miundombinu ya shule hiyo yakiwamo mabweni yalikarabatiwa ili kupokea baadhi ya wanafunzi waliohamishwa kutoka sekondari za Ihungo na Nyakato ambazo zinajengwa upya.

Akichangia taarifa ya tetemeko la ardhi iliyowasilishwa jana katika Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera (RCC), Meya huyo alishutumu matumizi mabaya ya fedha hizo. Alisema haikuwa haki kutoa kipaumbele cha ukarabati wa shule inayomilikiwa na CCM badala ya sekondari za Serikali.

Meya huyo alisema kamati ya maafa kushindwa kuzishirikisha kamati za mitaa na kata kumesababisha malalamiko mengi.

Source : mwananchi.co.tz
Mimi nafikiri ni sawa wafanye hivyo tu.
 
HIYO SHULE WANASOMA WANA CCM TUUU,? ACHENI UCHAWI KIJANA MDOGO MCHAWI, NA WATU WENGI WENYE KELELE KAMA ZAKO HAWAJACHANGA, BORA HATA MJUMBE WA KAMATI KUU KAKODI NDEGE YA MILIONI THELATHINI KWENDA KUCHANGIA MILLIONI SITA HAHAHAAAAA.

Hongera kwa kutoa hewa chafu.
 
Bukoba. Wakati baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kagera wakilalamikia kukosa misaada iliyotolewa na wahisani kwa wathirika wa tetemeko la ardhi, imedaiwa kuwa Shule ya Sekondari ya Omumwani inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM imekarabatiwa kwa fedha hizo.

Madai hayo yalitolewa na Meya wa Manispaa ya Bukoba, Adronikus Karumuna kuwa sehemu ya miundombinu ya shule hiyo yakiwamo mabweni yalikarabatiwa ili kupokea baadhi ya wanafunzi waliohamishwa kutoka sekondari za Ihungo na Nyakato ambazo zinajengwa upya.

Akichangia taarifa ya tetemeko la ardhi iliyowasilishwa jana katika Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kagera (RCC), Meya huyo alishutumu matumizi mabaya ya fedha hizo. Alisema haikuwa haki kutoa kipaumbele cha ukarabati wa shule inayomilikiwa na CCM badala ya sekondari za Serikali.

Meya huyo alisema kamati ya maafa kushindwa kuzishirikisha kamati za mitaa na kata kumesababisha malalamiko mengi.

Source : mwananchi.co.tz
Wanafunzi walikuwa wanaandikishwa kwa kadi ya ccm.
Mapovu yatawatoka
 
Uwe unaficha upumbavu wako kwani hizo zimetolewa kwa ajili kujenga shule ya CCM?
Zile milioni 10 kila mbunge wa CCM walizohongwa mbona hakuwenda kuzijengea hiyo yenu?
kamanda mie na wewe nani mpumbavu anaeamini uongo wa Mbowe,mbowe akiona mnaulizana anatupa bomu la uongo kuwasahaulisha,anafahamu kuwa uwezo wenu ni mdogo sana.mwambie awape huo ushahidi wa hongo ya milioni 10 bavicha.hivi mbowe awe na ushahidi aukalie tu? na wakati huu wanamtafuta Magufuli kila kona hawampati.

Hata zikijengewa shule za ccm,hao watoto bado ni watanzania na watasoma humo humo,hazitawachukua waganda
 
Mkuu,

Sikushangai maana unaongozwa tumbo!

Zile pesa hazikuchangishwa kwa ajili ya shule za private. Kama ni hivyo

Usitumie kigezo kuwa watoto wote bila kujali chama watasoma kwenye hiyo shule. Kama ni hivyo shule zote za private zirekebishwe kwa ile hela maana wanasoma watoto wa kada zote.!

Kati ya mkulu na mbowe nani mwongo? Alisema ajira zimesitishwa kwa mwezi na nusu hadi miwili lakini ni karibu miezi 6 inafika bila kutolewa hizo ajira.

Yani nyie lumumba mapovu yanawatoka maana 2020 ndo mwisho wenu
 
Back
Top Bottom