Fedha za kifisadi sasa basi:askofu mokiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fedha za kifisadi sasa basi:askofu mokiwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magesi, Oct 1, 2012.

 1. M

  Magesi JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Askofu mkuu wa kanisa la ang'likana Mokiwa amesewataka waumini na viongoz wa dini kutopokea fedha zozote za msaada kutoka kwa mtu au kiongoz yoyote anayejihusisha au mwenye harufu ya ufisadi SOURCE ITV HABARI SAA MBILI JANA
   
 2. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,516
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Sijui kama utaeleweka kwa wenzako walafi.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 59,069
  Likes Received: 32,505
  Trophy Points: 280
  Inabidi tuwapatie list ya mafisadi ambao pesa yao iogopwe kama ukoma na Viongozi na waumini wa dini zote.
  Mkapa, Kikwete, Lowassa, Chenge....

  ....endeleza
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,588
  Trophy Points: 280
  Kitu amvacho kanisa kinapaswa kuzingatia ni lile agizo la kutoa sadaka kwa siri. Bible inasema mkono.wako wa kushoto usijue wa kulia umetoa nini. Kwani hao mafisadi sadaka yao ikichanganywa na mimi kwenye kikapu unadhani watazileta? Viongozi ndo wanawapaisha, na ni blackmail kama sio manipulation ya kisirisiri. Hii tabia ipo lutheran na anglican kidogo. Huko rc hujui nani katoa nini. Kuendekeza njaa tu. Mokiwa kasema tu lakini angemaanisha wangemalizana na utaratibu wao ofisini.
   
 5. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,698
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Mokiwa anatoa agizo ambalo hawezi kulitekeleza, juzi kule Sumbuwanga walitaka kumkata kichwa kwa kuwasimikia kiongozi waliedai alipata wadhfa kwa kutoa rushwa, leo yeye anadhani ni kinara wa kupiga vita fedha chafu??, pole yake.
   
Loading...