iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
Nyanidume..Vigezo na masharti kuzingatiwa Mzazi...chondechonde mm haya masharti yatanishinda labda nikahasiwe ...Naomba nikonekt na huyo jamaa, mi nazihitaji hizo pesa!
akasema kuwa anipeleke kwa mganga ambaye atanipa dawa ya utajiri ambayo kafara yake ni wanawake wenye tamaa na hela tu wewe unamwita demu tu akishakuja tu wewe unampa hela halafu unaanza kumwambia kuwa baby nimepigiwa simu poa niende ila usitembee naye tu hela zako zinaanza kuongezeka tu
Kuna jamaa mmoja alisema kwa jinsi ujinga unavyozidi kuenea,ukijumlisha elimu ya kila mtanzania ukagawanya kwa idadi yetu,kila mmoja atakuwa na elimu ya chekechea
Tafuta ela dogo a cha kutishia watu wazima nyau