Yanayotokea Tanzania, yakitokea kwa wenzetu nchi inasimama. Nisiitaje kwani mifano ni mingi Duniani. Watanzania amkeni. Kama leo ni mimi kesho ni wewe. Kama siyo wewe ni baba yako, dada yako, kaka yako au Mtoto wako. au jirani yako. Inabidi sasa tuseme : ENOUGH IS ENOUGH..,.. Imetousha !
Kweli kabisa, mauji ya viongozi na wana usalama wetu Kibiti, Mkuranga, Rufiji etc ni mfano wa jinsi wananchi wasivyo kuwa makini kushiriki katika ulinzi wa Taifa maana wahusika wanaishi nao na wanafahamiana.