"Fedha au risasi" You join me or you die!

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,717
Reaction score
11,917
Plata o plomo/Fedha au risasi.
Ni msemo wa kispaniola uliobuniwa na akina Pablo Escobar, bwana unga maarufu nchini Colombia mwishoni mwaka miaka ya 1970s. Kauli mbiu hii iliwalenga marafiki na mahasimu wa Pablo waliopo nje au ndani ya serikali. Pablo na wenzake walikuwa wakitoa ujumbe kwamba wasipokubali fedha watatunukiwa kifo.

Wakati akina Pablo wakifanya biashara zao za dawa za kulevya wakikutana na vikwazo vya wanausalama, walichagua kuwapa fedha ili waachwe na mambo yao yaende. Askari au mwanausalama au kiongozi aliyekataa fedha, alitafutwa na kuuawa kwa risasi. Plata o Plomo.

Mbinu hiyo imeigwa na makundi mengi duniani, aghalabu makundi yote ni ya kihalifu. Bila kujali kikundi fulani kinavaa bendera za Taifa au/na kutumia ofisi na malia za umma, kama kikundi hiko kinatumia mbinu hiyo ya kuhonga au kuua anayekataa kuhongwa, hiko ni kikundi cha uhalifu.

Mungu awarehemu viongozi wote wa kisiasa wanaoendelea kupoteza maisha kwa kusimamia misimamo yao. Tumeshahama kutoka kwenye siasa za uadui, sasa hivi siasa ni kifo.

Plata o Plomo.

Watanzania ni lazima tuishi kama mashetani.

mr mkiki.
 
Yanayotokea Tanzania, yakitokea kwa wenzetu nchi inasimama. Nisiitaje kwani mifano ni mingi Duniani. Watanzania amkeni. Kama leo ni mimi kesho ni wewe. Kama siyo wewe ni baba yako, dada yako, kaka yako au Mtoto wako. au jirani yako. Inabidi sasa tuseme : ENOUGH IS ENOUGH..,.. Imetousha !
 
kwanini plomo isitumike kwa kiongozi wa wahalifu, mzee chogo?
 
SWALI KUU: Hivi ni kweli wtz sisi hatujui wanamoishi viongozi wa ccm??? Kwa nn tunkubali kizembe hivi tunuawa kuteswa na kufnyiwa kila baya lkn tumekaa kimya wkt hao mbwa tunishi nao.....KWA NN TUSIANZE KUZAA NA VIONGOZI WOTE WA CCM PALE WALIPO MPAKA WAACHE KUTUUA?
 
Yanayotokea Tanzania, yakitokea kwa wenzetu nchi inasimama. Nisiitaje kwani mifano ni mingi Duniani. Watanzania amkeni. Kama leo ni mimi kesho ni wewe. Kama siyo wewe ni baba yako, dada yako, kaka yako au Mtoto wako. au jirani yako. Inabidi sasa tuseme : ENOUGH IS ENOUGH..,.. Imetousha !
Enough is enough Say no to Deef Ears 'Watawala Walio ziba Pamba masikio'
 
Yanayotokea Tanzania, yakitokea kwa wenzetu nchi inasimama. Nisiitaje kwani mifano ni mingi Duniani. Watanzania amkeni. Kama leo ni mimi kesho ni wewe. Kama siyo wewe ni baba yako, dada yako, kaka yako au Mtoto wako. au jirani yako. Inabidi sasa tuseme : ENOUGH IS ENOUGH..,.. Imetousha !
nice
 
wakimaliza kwa madiwani watahamia kwa wabunge
 
SWALI KUU: Hivi ni kweli wtz sisi hatujui wanamoishi viongozi wa ccm??? Kwa nn tunkubali kizembe hivi tunuawa kuteswa na kufnyiwa kila baya lkn tumekaa kimya wkt hao mbwa tunishi nao.....KWA NN TUSIANZE KUZAA NA VIONGOZI WOTE WA CCM PALE WALIPO MPAKA WAACHE KUTUUA?
Nina imani wewe pia unajua wanapokaa, anza wewe na ulete mrejesho.
Usipende kutumia nafsi ya wingi "sisi" pendelea umoja "mimi" na ndo itakusaidia.
 
We mbwa acha kuwa na imani potofu...ummoja ni nguvu.....wanaouwawa na kuteswa kwa amri ya viongozi wa ccm kutoka juu ni wengi sn. So kwenye hao sisi ww haumo maana ni mtu usiyejulikana au pengine sio raia bali mnyarwanda hauna uchungu wowote na nchi
 
Anza wewe ili wengine waone mfano...
 
Tulisikia ya Al-shabab na imani hatukujua kuwa yangetuibukia kwa sura nyingine kabisa tusiyoitarajia. God have mercy on us!
 
Back
Top Bottom