Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,251
- 2,030
Pale wamezingua. Kuna namna unawezazitengenezea folder hizo picha halafu ukaficha folder kupitia setting sema sisi hiyo shida yake ni kwamba ukitaka kushare picha mojamoja mfano uko whatsapp unataka kutuma picha,ukitaka kushare hata zile zilizofichwa zinaonekana kwenye list
Je kwa matoleo ya zamani labda feature hizo zitaendelea kuwepo? Google wahuni sana.