Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 6,169
- 12,504
- Thread starter
- #41
Nadhani hujaelewa hiyo three-finger slide screenshots ikoje. Unatumia vidole vyako vitatu kwa pamoja kuslide down mara moja tu kwenye display kisha simu inascreenshot.Hii ni ujinga means ku take a screenshot Hadi ushike simu na mikono miwili au uweke chini na kila mtu ajue una piga screenshot
Ya kwangu uki pull down kwenye system bar utaona una touch inajipiga screenshot chap
Kama hujaielewa hiyo method, hata hiyo uliyoitaja hapo Xiaomi anayo pia. Unaweza kuscreenshot kupitia Notification panel. Hii ipo karibia kwenye kila simu za siku hizi.

