Nadhani hujaelewa hiyo three-finger slide screenshots ikoje. Unatumia vidole vyako vitatu kwa pamoja kuslide down mara moja tu kwenye display kisha simu inascreenshot.Hii ni ujinga means ku take a screenshot Hadi ushike simu na mikono miwili au uweke chini na kila mtu ajue una piga screenshot
Ya kwangu uki pull down kwenye system bar utaona una touch inajipiga screenshot chap
Nitakutumia screenshot, lakini kupata hizo devices kwa bei hizo ni rahisi sana. Ukiingia AliExpress fanya hivi[emoji116][emoji116]Seller gani unamtumia Kama unaweza screenshot huwa naagiza Sana vitu huko saket mbali mbali simu sijawahi
Hio feature yako ulioipenda ipo kwa Tecno F1 ya 2018 kwa Sasa used hata 60k to 80k unapataView attachment 2534743
Simu yangu ni Xiaomi, nikimpigia mtu au nikipiga inarecord maongezi yetu automatically.
Hii feature naipenda sana.
Simu yangu ina Chinese Rom.
Kila nikiwaza kubadili simu, sioni simu ya kununua.
Asus Zenfone zikianza kushuka bei nitanunua napenda sana Compact phone. I admire Zenfone 8 na 9.
Xiaomi masimu yao.mengi makubwa, I hate this.
Aah kumbe hujawahiNitakutumia screenshot, lakini kupata hizo devices kwa bei hizo ni rahisi sana. Ukiingia AliExpress fanya hivi[emoji116][emoji116]
Search jina la simu kisha zitakuja hizo simu
Kwenye sehemu ya kusort imeandikwa "Best matches" utaiona hapohapo baada ya kusearch. Iguse hiyo "Best matches" then sort by: Orders
Utaziona hizo simu kutoka kwa store zilizouza sana. Kuna YouGeek store na Goldway: hawa ndio wanauza sana hizo Xiaomi na positive reviews ni nying. Bei zao ndio hizo nilizokutajia.
Ingawa sijawahi kuagiza Xiaomi kutoka AliExpress ila tu nilikuwa na mpango huo
Xiaomi anazo compact phones pia. Labda ungesema bajeti yako then tukuambie ni simu gani ndogo ya Xiaomi unaweza ipata kwa bei hiyo.View attachment 2534743
Simu yangu ni Xiaomi, nikimpigia mtu au nikipiga inarecord maongezi yetu automatically.
Hii feature naipenda sana.
Simu yangu ina Chinese Rom.
Kila nikiwaza kubadili simu, sioni simu ya kununua.
Asus Zenfone zikianza kushuka bei nitanunua napenda sana Compact phone. I admire Zenfone 8 na 9.
Xiaomi masimu yao.mengi makubwa, I hate this.
Mkuu redmi note 11 naambiwa ile fast charge (33w) simu inapat sana moto ukiwa unachaji, vp kuna ukweliNitakutumia screenshot, lakini kupata hizo devices kwa bei hizo ni rahisi sana. Ukiingia AliExpress fanya hivi[emoji116][emoji116]
Search jina la simu kisha zitakuja hizo simu
Kwenye sehemu ya kusort imeandikwa "Best matches" utaiona hapohapo baada ya kusearch. Iguse hiyo "Best matches" then sort by: Orders
Utaziona hizo simu kutoka kwa store zilizouza sana. Kuna YouGeek store na Goldway: hawa ndio wanauza sana hizo Xiaomi na positive reviews ni nying. Bei zao ndio hizo nilizokutajia.
Ingawa sijawahi kuagiza Xiaomi kutoka AliExpress ila tu nilikuwa na mpango huo
Hahah above 5.5' hiyo haiwezi kuwa compact.Xiaomi anazo compact phones pia. Labda ungesema bajeti yako then tukuambie ni simu gani ndogo ya Xiaomi unaweza ipata kwa bei hiyo.
Ingawa mimi napenda masimu makubwa ila Xiaomi ndogo pia zipo.
Hakuna hata Xiaomi ya maana below 6.1 inch...Xiaomi anazo compact phones pia. Labda ungesema bajeti yako then tukuambie ni simu gani ndogo ya Xiaomi unaweza ipata kwa bei hiyo.
Ingawa mimi napenda masimu makubwa ila Xiaomi ndogo pia zipo.
Mkuu redmi note 11 naambiwa ile fast charge (33w) simu inapat sana moto ukiwa unachaji, vp kuna ukweli
Sikujua kama unaongelea simu ndogo kiasi hicho.Hahah above 5.5' hiyo haiwezi kuwa compact.
Nimeingia GSM arena nimegoogle Xiaomi zenye between 4.9' to 5.5' zimekuja simu 4 tu, Hainifai hata moja.
View attachment 2534872
Hakuna hata Xiaomi ya maana below 6.1 inch...
Nimesoma reviews kadhaa za Redmi Note 11 sijaona hata moja iliyoongelea shida hiyoMkuu redmi note 11 naambiwa ile fast charge (33w) simu inapat sana moto ukiwa unachaji, vp kuna ukweli
Redmi 9C 4/128
Uki update inafanyaje?Agiza redmi note ,11 pro , bonge Moja la smu , Ila usilogwe ukaupdate utaimba haleluya mixer kilio cha kusaga meno
Zipo nyuzi nyingi,,, unaweza kutuwekea link ya uzi unao uaminia ww?Yes, search humuhumu JF kuna thread inahusu kuagiza simu AliExpress, eBay na Amazon.
Watu waliowahi kununua wapo humuhumu jukwaani.