FDA shifts its Plan B policy

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
87
The food and drug Admnistrative (FDA) announced juzi (jumatano) kuwa it would allow 17 years –old to buy the emergency contraceptive pill plan B (Known as morning after pills) without prescription.Before ilikuwa hupati hizi plan B mpaka uwe prescribe na Dr ila now FDA wanaruhusu kuuzwa over the counter.

Wakati ule wa bush zilikuwa restricted on family planning services and my question is what do you all think about this FDA approval kuhusu hizi morning after pills kuruhusu 17years old kid kuwa na access anytime?…to me I think first it’s a terrible idea maana 17 years old is still a child in the eyes of law and besides watoto wtaaanza kujamiana bila kuwa na protection thinking nitatumia morning after pills matokeo yake ndiyo kuambukizana magonjwa kama STD’S,syphilis just to name the few…
…and second I think it’s good idea maana zitaweza kupunguza namba za abortion maana morning after pills unatumia within 72 hours after tendo la ndoa..That mean bado mimba haijajitunga at the time.

What’s your take on this FDA thing?...
 
hii FDA authority ya bongo? mhh sometime nashindwaga kuelewa ndugu zetu wa diaspora kama wapo pamoja na sisi.
 
hii FDA authority ya bongo? mhh sometime nashindwaga kuelewa ndugu zetu wa diaspora kama wapo pamoja na sisi.


FDA ya USA!...Sijui kama bongo kuna kitu kinaitwa mornign after pills...i know in London plan B walikuwa nazo over the conuter toka zamani na siyo lazima uwe prescribed....
 
to me I think first it’s a terrible idea maana 17 years old is still a child in the eyes of law and besides watoto wtaaanza kujamiana bila kuwa na protection thinking nitatumia morning after pills matokeo yake ndiyo kuambukizana magonjwa kama STD’S,syphilis just to name the few.

Huko marekani 17 huwa hawajaanza? du uswahilini kwetu huyo ni mzoefu kabisa tena hata mimba wana mbinu zao za kuzikwepa/chomoa.
 
Huko marekani 17 huwa hawajaanza? du uswahilini kwetu huyo ni mzoefu kabisa tena hata mimba wana mbinu zao za kuzikwepa/chomoa.


OH Yyeah 17 is still a minor...umebalahe tuu lakini wee ni minor under suveilance of your parents sema huko bongo sidhani kama wanafuatiiliya hii kitu maana utaona 17 years in tanzania yupo club na pia ana uwezo wa kwenda dukani au bar na kununua pombe bila kuulizwa Identification,.....ndiyo maana under age wengi wana watoto tanzania....kwa sababu ya carelessnesy
 
Kwani mimba inatungika baada ya muda gani?

sijui inatunga baada ya muda gani ila inavyosemekana ni kwamba hiyo morning after pills unatakiwa kunywa anytime after ukishafanya lile tendo la ndoa lakini isizidi 72 hours which is what? 3 days?...after that haitasaidia tena i suppose mimba inakuwa imeshatunga..

unless unywe mchai chai mbinu zetu za kitanzania.....
 
Back
Top Bottom