Karibu sana mkuu
Kumbe umetoka mbali na hili chama
eneo linalohitajika zaidi kuongezewa nguvu ni midfield (gorretzka umri umeshaanza kusogea, tolisso ameshindwa kuleta ushindani kikosi cha kwanza licha kuondoka kwa thiago),PSG & Bayern Munich wanagombania kumsajili Achraf Hakimi. Je, atafanikiwa kutua wapi?
Nakumbuka 2001 wanamtoa Man Utd
Ngoja tuone Naglesmman kama atakubali huu usajili maana michakato imeanza kabla ya yeye kubeba mikobaeneo linalohitajika zaidi kuongezewa nguvu ni midfield (gorretzka umri umeshaanza kusogea, tolisso ameshindwa kuleta ushindani kikosi cha kwanza licha kuondoka kwa thiago),
sioni mantiki ya kumkimbilia hakimi haliyakuwa tayari wapo wachezaji wawili wenye uwezo wa kucheza upande wa kulia kwa usahihi.
nawazungumzia benjamin parvard na joshua kimmich
Kuna historia nimeiona huo mwaka na hiyo timu.
Kuna shabiki aliingia uwanjani ghafla akiwa amevali jezi kama wachezaji wengine alienda kusimama walipokuwa wanapigwa picha tayari ya kuanza mechi, huyo shabiki hakugundulika ila walikuja kubaini baadae walipokuja kuangalia picha vizuri. Sijui aliwezaje kuingia na kutoka uwanjani bila kugundulika.
Hii historia unaifahamu maana una kumbukumbu za miaka hiyo?
jamaa anaitwa karl power, nadhani roy keane itakuwa alimshitukizia lakini akaufyataKuna historia nimeiona huo mwaka na hiyo timu.
Kuna shabiki aliingia uwanjani ghafla akiwa amevali jezi kama wachezaji wengine alienda kusimama walipokuwa wanapigwa picha tayari ya kuanza mechi, huyo shabiki hakugundulika ila walikuja kubaini baadae walipokuja kuangalia picha vizuri. Sijui aliwezaje kuingia na kutoka uwanjani bila kugundulika.
Hii historia unaifahamu maana una kumbukumbu za miaka hiyo?
Niliiona sehemu ngoja nitaitafuta nitailetaHapana aisee, hii sikuipata. Kipindi kile ilikuwa taarifa tunazipata kwenye radio vipindi vya michezo tu, usipopata kusikia hapo labda ubahatishe gazeti.
Siku hizi taarifa ni nyingi sana.
Ahsante mkuu kwa kuisogeza taarifa, ni huyu jamaa wa mwisho kushoto ndiye aliyevamia na kujumuika kupiga picha na wachezajijamaa anaitwa karl power, nadhani roy keane itakuwa alimshitukizia lakini akaufyata
teh teh teh
eti namuwakilisha eric cantona na jezi yake namba 7
When a Man Utd fan pulled off 'the best football sting of all time'
While Manchester United were preparing to take on Bayern Munich in a Champions League quarter-final in 2001, one fan was getting ready for an even bigger challenge.www.planetfootball.com
View attachment 1810109
Kalale mbele kinabo weweinatakiwa arsenal ishuke huko juu ,Uzi wa buyern upigwe pini