FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

Bayern Munich’s 2021-22 away jersey

IMG_20210606_113146_806.jpg
 
Karibu sana mkuu

Kumbe umetoka mbali na hili chama

Nakumbuka 2001 wanamtoa Man Utd robo fainal kwa 3 - 1 (win home and away), nusu fainal Real Madrid anakufa kwa 3 - 1 (win home and away), Giovani Elber akiwa ni moja ya hatari kwenye hizi game lakini timu ya taifa hayumo.

Fainali Valencia anakufa kwa matuta, baada ya hapo upepo ukakata UEFA.

Ile mijamaa ilikuwa hatari sana.
 
Chelsea and Manchester City are preparing a bidding war this summer over the signature of star Bayern Munich striker Robert Lewandowski.

The two Premier League sides, who meet in the Champions League final last month, would have to part with at least £60million to secure Lewandowski's services, according to ESPN
IMG_20210606_113825_320.jpg
 
PSG & Bayern Munich wanagombania kumsajili Achraf Hakimi. Je, atafanikiwa kutua wapi?
eneo linalohitajika zaidi kuongezewa nguvu ni midfield (gorretzka umri umeshaanza kusogea, tolisso ameshindwa kuleta ushindani kikosi cha kwanza licha kuondoka kwa thiago),

sioni mantiki ya kumkimbilia hakimi haliyakuwa tayari wapo wachezaji wawili wenye uwezo wa kucheza upande wa kulia kwa usahihi.

nawazungumzia benjamin parvard na joshua kimmich
 
Nakumbuka 2001 wanamtoa Man Utd

Kuna historia nimeiona huo mwaka na hiyo timu.

Kuna shabiki aliingia uwanjani ghafla akiwa amevali jezi kama wachezaji wengine alienda kusimama walipokuwa wanapigwa picha tayari ya kuanza mechi, huyo shabiki hakugundulika ila walikuja kubaini baadae walipokuja kuangalia picha vizuri. Sijui aliwezaje kuingia na kutoka uwanjani bila kugundulika.

Hii historia unaifahamu maana una kumbukumbu za miaka hiyo?
 
Ngoja tuone Naglesmman kama atakubali huu usajili maana michakato imeanza kabla ya yeye kubeba mikoba
 
Kuna historia nimeiona huo mwaka na hiyo timu.

Kuna shabiki aliingia uwanjani ghafla akiwa amevali jezi kama wachezaji wengine alienda kusimama walipokuwa wanapigwa picha tayari ya kuanza mechi, huyo shabiki hakugundulika ila walikuja kubaini baadae walipokuja kuangalia picha vizuri. Sijui aliwezaje kuingia na kutoka uwanjani bila kugundulika.

Hii historia unaifahamu maana una kumbukumbu za miaka hiyo?

Hapana aisee, hii sikuipata. Kipindi kile ilikuwa taarifa tunazipata kwenye radio vipindi vya michezo tu, usipopata kusikia hapo labda ubahatishe gazeti.

Siku hizi taarifa ni nyingi sana.
 
jamaa anaitwa karl power, nadhani roy keane itakuwa alimshitukizia lakini akaufyata
teh teh teh

eti namuwakilisha eric cantona na jezi yake namba 7

1622969316568.png
 
Hapana aisee, hii sikuipata. Kipindi kile ilikuwa taarifa tunazipata kwenye radio vipindi vya michezo tu, usipopata kusikia hapo labda ubahatishe gazeti.

Siku hizi taarifa ni nyingi sana.
Niliiona sehemu ngoja nitaitafuta nitaileta
 
jamaa anaitwa karl power, nadhani roy keane itakuwa alimshitukizia lakini akaufyata
teh teh teh

eti namuwakilisha eric cantona na jezi yake namba 7

View attachment 1810109
Ahsante mkuu kwa kuisogeza taarifa, ni huyu jamaa wa mwisho kushoto ndiye aliyevamia na kujumuika kupiga picha na wachezaji
 
RB Leipzig have named Red Bull Salzburg's manager as their new head coach, to replace Julian Nagelsmann who is heading to Bayern Munich in the summer.
 
Manuel Neuer is the first German goalkeeper to earn 100 caps for the men's national team!
IMG_20210608_120519_781.jpg
 
BREAKING: The away goals rule will be removed from all UEFA club competitions from the 2021/22 season.

@Goal233
IMG_20210624_162231_759.jpg
 
Julian Nagelsmann has officially been unveiled as Bayern Munich's new manager. #MiaSanMia

IMG_20210703_152755_938.jpg
 
OFFICIAL: Lewandowski has been voted FC Bayern Player of the season 2020/21

IMG_20210703_154051_672.jpg
 
No offense ila ligi ya Ujerumani siichukulii serious.

Nimeona mkuu Mwifwa umejibu Leipzig na BVB siyo wa kupuuzwa lakini that means hawa wawili hata wakiweza kukupiga nje ndani means msimu mzima utamalizika Bayern imepoteza mechi zisizozidi sita.

Now angalia hii kitu. Bayern inashika nafasi ya kwanza kwenye ligi, nafasi ya pili anashika RB. Bayern ananunua kocha na CB first eleven wa RB.

Next season hawa RB watakua wapi? Hivi ndivyo namna Bayern inaua ushindani Bundes liga. Kila mchezaji mzuri wa Bundes liga ujue Bayern atamtaka kumkosa ni asilimia chache endapo tu mchezaji husika atakataa ofa mfano Reus. Nje ya hapo yeyote atakayetakiwa hua hapindui.

Inasemekana wachezaji wa Bundes liga hua wanacheza wakiwa na ndoto ya kuchezea Bayern ndiyo maana hua hawakatai ofa. Am simply saying Bayern kwa ligi waliyopo there is not much
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom