FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

FC Bayern Munich (The Bavarians) | Special Thread

..
20240419_113753.jpg
 
Naona mnaenda kumpa harry kane kikombe cha kwanza
Daaahhh, Kane ana gundu sana.

Dk za jioni zimemkosesha kombe

Ngoja tusubiri hizi mechi 2 zilizobaki tuone kama bahati itaangukia kwake.
 
Sijui alitukana wazazi
Ila kimahesabu tayari kashashinda hii ndoo.

Bayern ana tofauti ya magoli 30 hadi sasa. Endapo akipoteza hizi mechi 2 zilizobaki na Leverkusern ashinde mechi zake 3 zilizobaki, watakuwa na points 76 kila mmoja.

Lakini utofauti wa magoli utaibeba Bayern. Kiuhalisia Leverkusern hawezi kumzidi Bayern magoli 30 ndani mechi 3.
 
Bayern Munich ni bingwa na huenda akatangazwa Leo
Ila sidhani kama Vicent atabaki kama kocha pale na ukuta wake wa kina Kim
 
Bayern Munich ni bingwa na huenda akatangazwa Leo
Ila sidhani kama Vicent atabaki kama kocha pale na ukuta wake wa kina Kim
Tayari mkuu.

Daahh, Kane kavunja gundu kwa mbinde haswa
 
Back
Top Bottom