Talented Land
Senior Member
- Feb 4, 2016
- 157
- 135
WATU WALIKUWA WANASUBIRI BARCA IFUNGWE ILI IWE STORY KWA SABABU HAMNA ZAIDI YA KILELE .NA BARCA ILISHAFIKA KWENYE MAFANIKIO (TREBLE) WAACHENI KWA SABABU LAZIMA BARCA ASHUKA ILI APANDE TENA .KAMA VILE FIFA RANKS ZINAVYOCHANCE. HATA BAYERN ALIKUWA BORA AKALA 5 .MADRID ALITOLEWA NA JUVE.
VIVA BARCELONA[/B]