FBI wamethibitisha Hillary Clinton alidanganya

Unataka kutuambia nini mkuu?
Mkuu, binafsi namchukia Trump hasa hasa kutokana na sera zake za kibaguzi, mfano mkakati wake wa kutengeneza database ya kutrack waislamu wote marekani na kuzia waislamu wasiingie marekani! I hate him for that.. Lakini uzuri wa nchi kama ya marekani rais anadhibitiwa vizuri sana na Bunge la Congress pamoja na baraza la mawaziri, hawawezi kufanya maamuzi makubwa yoyote pasipo Congress kuridhia! Kwahiyo nina uhakika hizi sera za kiwendawazimu za Trump za kujenga ukuta mpakani au kubagua waislamu na wahamiaji wengine haziwezi kufanikiwa hata akiwa rais na kama akizingua zaidi anakuwa impeached!

Kwa upande wa Hillary, binafsi namuona ni mtu hatari sana! Trump ni mropokaji na ana lugha za kuudhi lakini uropokaji wake haujawahi kugharimu maisha ya mtu! Lakini maamuzi ya mama Hillary yamewahi kugharimu maisha ya watu na Uhuru wa baadhi ya nchi.. Leo hii Libya haiko stable hatuwezi hata kuiita tena kuwa ni 'nchi'! Hillary anabeba lawama juu ya dhambi hii.. Amechangia kuiharibu Libya akiwa Secretary of State!
Kitendo chake cha kutumia barua pepe binafsi nyumbani kwake ambazo hata wikileaks wameweza kuzidukua najiuliza je kuna hackers wengine wangapi wamezidukua? Na hii impact yake hatutaiona sasa, tusubiri miaka miwili au mitatu ndio tutaona athari zake baada ya wadukuzi kuwa wameshafanyia kazi siri walizozidukua.!!

Sasa kwanini Trump anapigwa vita na Hillary anapambwa kama malaika??
Ninachokiona ni kwamba wale 'mabwana wakubw' wenye special interest na walioishikilia Marekani wanahofu Trump akiwa Rais watapoteza sana kwasababu Trump hana mtu wa kumlipa fadhila? Hakuna aliyembeba kufika hapo! Candidacy yake imekuwa ya ghafla na 'self-made' pasipo kushikwa mkono na mabwana wakubwa! Hivyo akiwa Rais itakuwa ni vigumu kumtumia kwasababu hawamdai fadhila zozote..
Lakini Hillary, ni mtu ambaye amekuwa kwenye system toka usichana wake.. Ni mtu ambaye amebebwa na mabwana wakubwa maisha yake yote! Ni mtu 'anayedaiwa' fadhila lukuki na mabwana wakubwa! Kwa kifupi namuona kama kibaraka wa mabwana wakubwa, watamtumia wanavyotaka.
Kama Hillary atakuwa Rais, naufananisha urais wake utafanana kabisa na urais wa G.W. Bush.! Rais asiyekuwa na maamuzi yake binafsi, Rais anayeendeshwa na remote na watu walio nyuma ya pazia..

Kiufupi uchaguzi huu wa mwaka huu wamarekani imekula kwao, Trump ni fedhuli na Bibi Hillary ni fedhuli zaidi aliyevaa ngozi ya kondoo! Mgombea pekee aliyekuwa anafaa alikuwa ni Bernie Sanders, mtu mwenye rekodi ya kulinda haki za binadamu na kupigania haki za minorities, lakini Hillary na timu yake ya kampeni kwa kushirikiana na kamati kuu ya Democrats ndio wakamfanyia zile figisu kama zilivyoonekana kwenye barua pepe zilizovuja..

Binafsi ninachotamani ni kwamba, Mwendawazimu Trump ashinde, na akishashinda na akikataa kuachana na sera zake za kibaguzi basi awe impeached na baraza la Seneta! Mike Pence apewe nchi na hatimaye uchaguzi mwingine ufanyike kwa umakini na naamini wamarekani watakuwa wamejifunza.!
Lakini Hillary hapana, media zinatumika kutupumbaza lakini hapana aisee! She is worst kuliko Trump..
 
Alitumia Email yake binafsi yaani kama vile yahoo.com au gmail.com kwa emails za kiofisi jambo ambalo ni kosa, na isitoshe alificha mawasiliano na kufuta ingawaje alikuwa anawasiliana kiofisi, kumbuka kwamba alikuwa Waziri wa Kivita wa USA (Secretary of state)!
Nimeelezea kijuu juu tu
lkn inakwenda ndani zaidi nafikiri, hapa Mpinga Kristo Clinton hachomoi!

Acha kupotosha Umma wewe Popoma yaani Secretary of State ndio Waziri wa Vita/Ulinzi,na Secretary of Defense ataitwa nani?
 
Hakuna wabaguzi kama nyie wavaa suruali fupi ,mpaka papa akalalamika kwanini wakristo wake walioko saudia wapatao mil moja hawaruhusiwi kuvaa kitu chochote kinachomjulisha ni mkiristo?na amewajengea kanisa kubwa la karibu $7milion lakini nyinyi misikiti kwao mnajenga bila wasiwasi wowote ule.
Ukithibitisha kwamba wewe ni mkatholic nitakutaka radhi,ila kama ni wale mnaojifanya mna mungu wenu wa kweli,nitaendelea kufungulia bomba la uchafu,hadi ujute kuuleta huu Uzi hapa
 
Acha kuongopa wewe, waliomuua Gadafi ni NATO, nani ni Mkuu wa NATO? Ni nani anayetoa fedha NATO? Umesahau Hotuba ya Obama aliyeitoa kabla ya Gadafi kuuliwa? Alisema nini? Na isitoshe hakuna ndege ya NATO inayoruka bila ya idhini ya USA!
Kama waliomuua gadafi ni nato. Sasa ilikuwaje obama alikilli kosa kwa kumuua dadafi?
 
Hakuna wabaguzi kama nyie wavaa suruali fupi ,mpaka papa akalalamika kwanini wakristo wake walioko saudia wapatao mil moja hawaruhusiwi kuvaa kitu chochote kinachomjulisha ni mkiristo?na amewajengea kanisa kubwa la karibu $7milion lakini nyinyi misikiti kwao mnajenga bila wasiwasi wowote ule.
Bradha watu wanaongelea uchagudhi wa Marekani,
 
Mkuu, binafsi namchukia Trump hasa hasa kutokana na sera zake za kibaguzi, mfano mkakati wake wa kutengeneza database ya kutrack waislamu wote marekani na kuzia waislamu wasiingie marekani! I hate him for that.. Lakini uzuri wa nchi kama ya marekani rais anadhibitiwa vizuri sana na Bunge la Congress pamoja na baraza la mawaziri, hawawezi kufanya maamuzi makubwa yoyote pasipo Congress kuridhia! Kwahiyo nina uhakika hizi sera za kiwendawazimu za Trump za kujenga ukuta mpakani au kubagua waislamu na wahamiaji wengine haziwezi kufanikiwa hata akiwa rais na kama akizingua zaidi anakuwa impeached!

Kwa upande wa Hillary, binafsi namuona ni mtu hatari sana! Trump ni mropokaji na ana lugha za kuudhi lakini uropokaji wake haujawahi kugharimu maisha ya mtu! Lakini maamuzi ya mama Hillary yamewahi kugharimu maisha ya watu na Uhuru wa baadhi ya nchi.. Leo hii Libya haiko stable hatuwezi hata kuiita tena kuwa ni 'nchi'! Hillary anabeba lawama juu ya dhambi hii.. Amechangia kuiharibu Libya akiwa Secretary of State!
Kitendo chake cha kutumia barua pepe binafsi nyumbani kwake ambazo hata wikileaks wameweza kuzidukua najiuliza je kuna hackers wengine wangapi wamezidukua? Na hii impact yake hatutaiona sasa, tusubiri miaka miwili au mitatu ndio tutaona athari zake baada ya wadukuzi kuwa wameshafanyia kazi siri walizozidukua.!!

Sasa kwanini Trump anapigwa vita na Hillary anapambwa kama malaika??
Ninachokiona ni kwamba wale 'mabwana wakubw' wenye special interest na walioishikilia Marekani wanahofu Trump akiwa Rais watapoteza sana kwasababu Trump hana mtu wa kumlipa fadhila? Hakuna aliyembeba kufika hapo! Candidacy yake imekuwa ya ghafla na 'self-made' pasipo kushikwa mkono na mabwana wakubwa! Hivyo akiwa Rais itakuwa ni vigumu kumtumia kwasababu hawamdai fadhila zozote..
Lakini Hillary, ni mtu ambaye amekuwa kwenye system toka usichana wake.. Ni mtu ambaye amebebwa na mabwana wakubwa maisha yake yote! Ni mtu 'anayedaiwa' fadhila lukuki na mabwana wakubwa! Kwa kifupi namuona kama kibaraka wa mabwana wakubwa, watamtumia wanavyotaka.
Kama Hillary atakuwa Rais, naufananisha urais wake utafanana kabisa na urais wa G.W. Bush.! Rais asiyekuwa na maamuzi yake binafsi, Rais anayeendeshwa na remote na watu walio nyuma ya pazia..

Kiufupi uchaguzi huu wa mwaka huu wamarekani imekula kwao, Trump ni fedhuli na Bibi Hillary ni fedhuli zaidi aliyevaa ngozi ya kondoo! Mgombea pekee aliyekuwa anafaa alikuwa ni Bernie Sanders, mtu mwenye rekodi ya kulinda haki za binadamu na kupigania haki za minorities, lakini Hillary na timu yake ya kampeni kwa kushirikiana na kamati kuu ya Democrats ndio wakamfanyia zile figisu kama zilivyoonekana kwenye barua pepe zilizovuja..

Binafsi ninachotamani ni kwamba, Mwendawazimu Trump ashinde, na akishashinda na akikataa kuachana na sera zake za kibaguzi basi awe impeached na baraza la Seneta! Mike Pence apewe nchi na hatimaye uchaguzi mwingine ufanyike kwa umakini na naamini wamarekani watakuwa wamejifunza.!
Lakini Hillary hapana, media zinatumika kutupumbaza lakini hapana aisee! She is worst kuliko Trump..
Hillary Clinton kwa kweli ni balaa,tatizo kubwa linalowakumba wamarekani ni system nayoitumikia,kwa kubebwa kwake na wale wanaojiita elites,kwa kuitumikia system kwa muda mrefu sasa ,naye amekuwa part of it.
NaSofia huyu ataleta maafa zaidi ya Obama .
 
Back
Top Bottom