Duuuuuuu FBI wamekosa mbinu kabisa!!!!!
Yaani Ni kweli Apple kibokoWakifungua hio simu moja ndio apple wataongeza security .
Hiki kitu kinatokea kila Mara kwa tech companies, ikigunduliwa loophole ndio company inaboresha security.
The only option kwa FBI ni kukomaa hadi apple wenyewe watengeneze hio software ya kufungua simu.
FBI kupata access kwa iphone moja doesn't compromise apple security.
Snowden alisema FBI hawashindwi kuifungua iyo simu.Idara ya Haki ya Marekani imesema huenda shirika la upelelezi la FBI limegundua njia ya kufungua simu ya mkononi ya muuaji aliyewapiga risasi watu eneo la San Bernardino, Syed Rizwan Farook.
Idara hiyo imeiomba mahakama kuahirisha kusikilizwa kwa kesi kati ya shirika hilo dhidi ya kampuni ya utengenezaji wa simu, Apple.
View attachment 331736
Simu ya iPhone
Idara hiyo imekuwa ikishawishi mahakama ilazimishe Apple kufungua simu ya Farook, ambaye yeye na mkewe wanatuhumiwa kufanya shambulizi la bunduki na kuwaua zaidi ya watu 14 katika jimbo la California, Desemba, mwaka jana.
Hapo ndo utawapenda Apple ....top security!!
Duuuuuuu FBI wamekosa mbinu kabisa!!!!!
Apple wanatafuta Kik ya biashara ya simu kwenye suala la security and encryption.Wakifungua hio simu moja ndio apple wataongeza security .
Hiki kitu kinatokea kila Mara kwa tech companies, ikigunduliwa loophole ndio company inaboresha security.
The only option kwa FBI ni kukomaa hadi apple wenyewe watengeneze hio software ya kufungua simu.
FBI kupata access kwa iphone moja doesn't compromise apple security.
Achana na Snowdenhuyo snowden wako ndo nani kiasi ya kwamba kila anachosema ni ukweli mtupu!
Sina maaana hiyo ..nilivyosema achana na Snowden maana yangu tuachane kuongelea habar za snowden kama snowden..tuje kweny uhalisia tu kuhusu fbi.eti achana snowden! kwa yeye ndo kiumbe mwenye akili kuliko team apple na fbi
hata hivyo sie hapa tulikuwa hatuongelei habari za snowden bali wewe ndo umeleta habari hizo afu wewe huyohuyo ndo unasema tuachane nazo!Sina maaana hiyo ..nilivyosema achana na Snowden maana yangu tuachane kuongelea habar za snowden kama snowden..tuje kweny uhalisia tu kuhusu fbi.
Don get me wrong bro
Sawa mkuuhata hivyo sie hapa tulikuwa hatuongelei habari za snowden bali wewe ndo umeleta habari hizo afu wewe huyohuyo ndo unasema tuachane nazo!