Mimi pia ni hardcore rpg/strategy player ndo mana nkakuuliza nshalimaliza hilo hilo game na my favourite ni age of empire II huwa spend graphics nyingi.
Kama na wewe hupendi graphics try series hii ya kijapani inaitwa fire emblem ina game kuanzia super nintendo, gameboy advance, nintendo ds, gamecube hadi now nintendo wii kama una capable pc download emulator then utaona
Assassin I au IIassassins creed
Project IGI Zote
I. baada ya hapo walipoteza mwelekeo wa gameAssassin I au II
Mimi pia ni hardcore rpg/strategy player
I. baada ya hapo walipoteza mwelekeo wa game
Yep mie ile ya kwanza nilipiga fresh hadi finally yule mbabu aliyekua akinipa mission kwenda alijojo na alinisumbua sana kumuua mwishoni nilirudia hiyo part mara 2 coz alikua anapotea ukimzidia to behonest it waz a gud game and a nice one.
umeonae.. na mgs ushacheza?
Metal ckuwahi kuicheza mkuu niliijaribu baadae ikanipa uvivu. sahizi nina kama mwaka na nusu cjacheza games. My last games to play were Biohazard 5 and Call of Duty early 2011
mwaka na nusu?? kwa nini tena?? ila na mie si wa kusema, nina mwaka pia sijafanya some serious gaming
Duu c unajua mambo ya hapa na pale halafu kazi za watu zinabana mpaka basi mzee. Ila nikipata muda nitacheza muendelezo wa magames niliyokua nikicheza miaka hiyo pamoja na mengine yanayofanana na hayo. Especially Resident evil 6 ikitoka lazima nicheze yote bila kujali kazi wala nn. Pia nina kiporo cha Call of duty kam mbili hivi zijazicheza
juzi I figured kwamba Mario World siichoki, baada kucheza online.
Ila NFS Most Wanted is super awesome, utakuja anajua hili. Mida mida ntaanza kuitafuta NFS The Run.
God of War 2 (ambayo nimecheza) 1 na 3 bado.
C-12 Final Resistance (ps one)
Splinter Cell Conviction
Sijaifeel aoe kama Good Guy na chief-mkwawa. But rather Command and Conquer Rea Alert 2 (yuri's revenge) Red Alert 3, au Command and Conquer Generals, balaa tupu!
Baniani Mzuri, Biohazard ndo iliyoinfluence kupata jina?
so far ninazo mbili cover strike na am going inIGI zipo mwisho Namba gani?
RPG fans should try final fantasy series and diablo..those are cool games,Elder Scroll Series..