Faulo hata mechi haijaanza, sichezi mimi

Faulo hata mechi haijaanza, sichezi mimi

Kwa DW ndio nani?
Sasa we unajiita jinga lao na umejitahidi mpaka unatumia smartphone ambayo inauwezo wa kukufanya uwe updated na kila kinachotokea kona ya dunia hii still huijui DW?!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira haujaanza refa katenga penati...jamaa akaona isiwe tabu, sichezi
 
Nakuona umeegemea mlingoti!
huyu kaegemea nini ?
FB_IMG_1573390002377.jpg

FB_IMG_1573405233565.jpg
 
Waimba mapambio wenzio na buku saba wenzako akina Luciferoriginal, isis, sisis wako wapi siku hizi au ubahili wa Jiwe kutowalipa malipo ya buku saba kumewakimbiza mtandaoni?
Wameishiwa bundle hao
 
Janja ya nyani ishagundulika. Wametahayari.
Wapinzani hawana maana kabisa, kila kitu wao ni kupinga, kupanga mauaji, acha wasusie, maana kama ni mtego wameingia, lazima wananchi wawakatae kabisa na bado, safari hii hawaambulii kitu maana ni wapinga maendeleo
 
Pumbafu sana wewe,
Wewe na Jafo nani ana akili? Jafo kasalimu amri tayari
 
Back
Top Bottom