Faulo hata mechi haijaanza, sichezi mimi

Olmost

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
340
Reaction score
448
IMG_20191109_113140.jpeg
 
Nimepitia kwenye kurasa za DW nikakutana na picha kibonzo ambayo kimsingi inazungumzia uchaguzi wetu wa serikali za mitaa.

Ila binafsi nimeshindwa kuisoma na kuipatia maana halisi nini mwandishi alikusudia. Tafadhali naomba wenye uelewa na habari picha mtujuze.
Screenshot_20191110-204451.jpeg
 
Kuumia kwa kipa wa timu pinzani hakumzuii mwamuzi kumruhusu mchezaji wa timu nyingine kupiga mpira wa penati maana hiyo mechi haina fea plei. Ukiuumia wanzio wataendelea hata kama sheria zipo za kusimamisha mpira kwa mida hilo halitafanyika ili kumhakikishia huyo wa timu nyingine ushindi wa haraka sana.
 
Nimepitia kwenye kurasa za DW nikakutana na picha kibonzo ambayo kimsingi inazungumzia uchaguzi wetu wa serikali za mitaa.

Ila binafsi nimeshindwa kuisoma na kuipatia maana halisi nini mwandishi alikusudia. Tafadhali naomba wenye uelewa na habari picha mtujuze. View attachment 1260115
Nakuona umeegemea mlingoti!
 
Mchezo haujaanza refa akaamuru faulo tena penalti inabidi ujitoechezoni refa afanye alichokusudia
 
Hatua muhimu kuliko zote

1. Tume huru ya uchaguzi
2. Siasa ziruhusiwe majukwaani kwa mujibu wa katiba
3. Katiba ya Jaji Warioba

Wasikubali kushiriki uchaguzi wowote bila hayo mambo matatu.
 
Kuumia kwa kipa wa timu pinzani hakumzuii mwamuzi kumruhusu mchezaji wa timu nyingine kupiga mpira wa penati maana hiyo mechi haina fea plei. Ukiuumia wanzio wataendelea hata kama sheria zipo za kusimamisha mpira kwa mida hilo halitafanyika ili kumhakikishia huyo wa timu nyingine ushindi wa haraka sana.
Hakika ccm hawana aibu
 
Hatua muhimu kuliko zote

1. Tume huru ya uchaguzi
2. Siasa ziruhusiwe majukwaani kwa mujibu wa katiba
3. Katiba ya Jaji Warioba

Wasikubali kushiriki uchaguzi wowote bila hayo mambo matatu.
Hayo yote ni mambo muhimu sana kwa sasa ili kuinusuru Tanzania
 
Kuumia kwa kipa wa timu pinzani hakumzuii mwamuzi kumruhusu mchezaji wa timu nyingine kupiga mpira wa penati maana hiyo mechi haina fea plei. Ukiuumia wanzio wataendelea hata kama sheria zipo za kusimamisha mpira kwa mida hilo halitafanyika ili kumhakikishia huyo wa timu nyingine ushindi wa haraka sana.
We kwani hujui kusoma? Kipa wa upinzani hajaumia ila wapinzani wameanza kufunga goli wakati refa hajaruhusu muda wa mpira kuanza
 
Back
Top Bottom