Fatou Bensouda confirmed to head ICC after Ocampo

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225

551322-54248.png

CHOSEN: Fatou Bensouda takes over from Ocampo.

Fatou Bensouda of Gambia was yesterday confirmed as the new prosecutor for the ICC, replacing Luis Moreno Ocampo whose term expires next year. Bensouda emerged as the consensus candidate for the high-profile job, a diplomat at the center of the selection process said. Bensouda, 50, has been working as Ocampo's deputy.

An informal meeting of ICC members was held in New York yesterday to discuss the appointment, according to Liechtenstein's U.N. Ambassador Christian Wenaweser, president of the Assembly of States Parties (ASP) to the Rome Statute that set up the court. "I will recommend to the meeting that, based on my consultations, we go forward with a single candidate, Fatou Bensouda," Wenaweser told Reuters by telephone before the meeting.

The appointment will be made at a formal session of the 118-nation ASP in New York on December 12, Wenaweser said. Bensouda was named deputy prosecutor of the Hague-based ICC in 2004 and previously worked as a legal adviser and trial attorney at the International Criminal Tribunal for Rwanda in Arusha, Tanzania.

She has long been regarded as the favorite to take over from Moreno-Ocampo, particularly at a time when the ICC's cases are largely focused on Africa. Ocampo is seeking confirmation of charges against six Kenyans suspected of crimes against humanity. In the first case, Eldoret North MP William Ruto, Tindiret MP Henry Kosgey and journalist Joshua arap Sang have been charged.

The suspects in the second case are Deputy Prime Minister Uhuru Kenyatta, head of the civil service Francis Muthaura and former police commissioner who is now the postmaster general Hussein Ali. She was one of four candidates short-listed by a search committee last month to replace Moreno-Ocampo as chief prosecutor of the world's top war crimes court.

http://www.the-star.co.ke/national/national/52039-fatou-bensouda-confirmed-new-icc-prosecutor
 
Four candidates named for next ICC Prosecutor 26 Oct 2011 The International Criminal Court's Search Committee has shortlisted four candidates to succeed Luis Moreno Ocampo as Chief Prosecutor

The four shortlisted candidates were selected from 52 candidates and the committee interviewed 8 candidates before deciding upon a shortlist. The committee did not express any preference for a candidate, saying in its report that each of the them have ‘the professional experience and expertise, and the necessary personal qualities, to perform the role of the next ICC prosecutor to the highest standard'.

They are Fatou Bensouda of the Gambia (currently ICC Deputy Prosecutor), Andrew Cayley of the UK, Mohammed Othman of Tanzania and Robert Petit of Canada.

Fatou Bensouda.jpg

It initially appears that Ms. Bensouda is the favourite for the position, particularly as she has the backing of the African Union, which has been highly critical of the ICC's focus on Africa. She became ICC Deputy Prosecutor in November 2004, after working for several years as a Senior Legal Advisor, and later as Head of The Legal Advisory Unit, at the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR).

andrew cayley eccc.jpg

Andrew Cayley was appointed as International Co-Prosecutor at the Extraordinary Chambers in the Courts of Cambodia (ECCC) in 2009. Mr. Cayley had previously worked in private practice, and defended Charles Taylor before the Special Court for Sierra Leone and Ivan Cermak before the International Criminal Tribunal for the former Yugoslavia. He was also Senior Prosecuting Counsel on the ICC Darfur case and led the Ratko Mladić investigation at the ICTY.

Mohamed Chande Othman.jpg

Mohammed Othman is the Chief Justice of Tanzania having previously served as both a High Court and Appeals Judge, and worked at the ICTR, the UN Mission in East Timor, and the High-Level Commission of Inquiry on Lebanon. He also held the position of UN Independent Expert on the situation of human rights in the Sudan.

Robert Petit.jpg

Robert Petit is a Counsel with the War Crimes Section of the Canadian Department of Justice and spent three years working as the International Co-Prosecutor at the ECCC. He previously worked as a Legal Officer in the Office of the Prosecutor of the ICTR, at the UN Missions in Kosovo and East Timor, and at the Special Court for Sierra Leone.

Representatives from the 119 ICC state parties will now attempt to reach consensus on one candidate. If this fails, an election will take place in New York at the ICC Assembly of States Parties in December. The successful candidate will take up the post when Moreno Ocampo's nine year mandate expires at the end of June 2012.

Four candidates named for next ICC Prosecutor » The Hague Justice Portal
 
01-12-2011fatoubensada.jpg

Fatou Bensouda

Kwa kile kitakachoonekana kuwa pigo kwa JK (na may be Tz).......kinyang'anyiro cha kumpata chief prosecutor wa ICC kule the Hague kimekwisha kwa consensus iliyofikiwa kumchagua mwana mama toka Gambia Bi Fatou Basouda kuwa chief prosecutor wa ICC kumrithi Ocampo...kuanzia june next year.

Mchakato wa kumpata chief prosecutor wa ICC ulikuwa umebakiza majina mawili ya Othman Chande (Tanzania) na Bi Fatou Basouda (Gambia) na nchi zote zilifikia muafaka wa kumchagua mgambia kumrithi Ocampo.

Majina mengine mawili ya majaji toka Canada na Uk walijiondoa mwishoni mwa mchakato na kubakiza majina 2 ya Chande na huyu mama....

Hivyo ni kweli jaji Chande ilibaki kidogo ashinde kwa kweli kwani probability ilikuwa kubwa sana baada ya majina 2 kujitoa. Hata hivyo huyu mama alishinda mwishoni. Kabla ya hapo huyu mama alikuwa msaidizi wa Ocampo.

All the best mamy.....twategemea utaendeleza harakati za kuwakamata viongozi majambazi na madikteta wa Africa pamoja na kuwa nawe ni mwafrica........

SOURCE: Attached here
 
Attachments

  • African secures ICC prosecutor.doc
    34.5 KB · Views: 72
Acha uzandiki...

Jaji Chande alijitoa tangia juzi jioni ili kuhakikisha kuwa mama huyo anashinda kwani endapo wangeenda katika kura Canada na wengine wangeliweza kutumia nafasi hiyo kuwagawanya waafrika na hivyo kutoa nafasi kwa wagombea wao....
 
Hata hili linahitaji politics na propaganda? Kwani kukubali kiroho safi kwamba Mgambia kashinda shida iko wapi?
 
Acha uzandiki...

Jaji Chande alijitoa tangia juzi jioni ili kuhakikisha kuwa mama huyo anashinda kwani endapo wangeenda katika kura Canada na wengine wangeliweza kutumia nafasi hiyo kuwagawanya waafrika na hivyo kutoa nafasi kwa wagombea wao....

Kwanini ajitoe chande na siyo huyo mama wa gambia? kwani huyo mama ndo mwafrika zaidi au?
 
Acha uzandiki...

Jaji Chande alijitoa tangia juzi jioni ili kuhakikisha kuwa mama huyo anashinda kwani endapo wangeenda katika kura Canada na wengine wangeliweza kutumia nafasi hiyo kuwagawanya waafrika na hivyo kutoa nafasi kwa wagombea wao....
Aisee!!!!!kweli nimekubali kuna mijitu ignorant humu jf!! nakuomba ufungue attachment usome kilichofanyika mpaka mwisho.....acha kuendeleza upumbavu wa kutokubali ukweli............kwa taarifa ni kwamba jaji Chande na huyu mama ndio waliobaki hadi mwisho.....waliojitoa ni wazungu.........acha kupika ujinga......stupid.......
 
jamaa inamuuma sana ,kwanza yupo hapa analipwa kwa kuandika huo upuuzi na pili wanajua chande angeshinda ingewasaidia pale tutakapo mpeleka mkuu ICC kama kawaida yao wamsave, naona hilo sasa limekula kwao. Chande mwenyewe ishu za tz zimemshinda angeliweza hayo majukumu makubwa? Ishu kubwa ambayo nimepata taarifa ni kuwa kitendo cha Tanzania kutoitambua NTC ya libya ndiyo kimemharibia sana huyu jamaa maana wale wazungu waliojitoa walifanya maksudi kabisa ili jamaa aumbuke mwishoni.
 
hapo ndipo ninapokubaliana na wewe
 
Chande angeshindaa ningeshangaa sana kwa sababu mahakama za Tanzania zote zinanuka rushwa, maamuzi batili na ukiukwaji mkubwa wa kanuni zinazotawala uendesheji mahakama. Majaji wengi ni wanasiasa ku;liko wanataaluma wa sheria
 
Kwa kile kitakachoonekana kuwa pigo kwa jk (na may be tz).......kinyang'anyiro cha kumpata chief prosecutor wa ICC kule the Hague kimekwisha kwa consensus iliyofikiwa kumchagua mwana mama toka Gambia Bi Fatou Basouda kuwa chief prosecutor wa ICC kumrithi Ocampo...kuanzia june next year.

Mchakato wa kumpata chief prosecutor wa ICC ulikuwa umebakiza majina mawili ya Othman Chande (Tanzania) na Bi Fatou Basouda (Gambia) na nchi zote zilifikia muafaka wa kumchagua mgambia kumrithi Ocampo.

Majina mengine mawili ya majaji toka Canada na Uk walijiondoa mwishoni mwa mchakato na kubakiza majina 2 ya Chande na huyu mama....

Hivyo ni kweli jaji Chande ilibaki kidogo ashinde kwa kweli kwani probability ilikuwa kubwa sana baada ya majina 2 kujitoa. Hata hivyo huyu mama alishinda mwishoni. Kabla ya hapo huyu mama alikuwa msaidizi wa Ocampo.

All the best mamy.....twategemea utaendeleza harakati za kuwakamata viongozi majambazi na madikteta wa Africa pamoja na kuwa nawe ni mwafrica........

SOURCE: Attached here

Unafikiri dunia haioni yanayoendelea Tanzania na uozo wa viongozi walaghai, wala rushwa na wanaolindana? Nafasi hiyo inahitaji mtu msafi si kama Chande ameonyesha udhaifu mkuwa sana katika nafasi yake tangu achaguliwe na kuwa kama mtendaji wa CCM badala ya kusimamia mhimili muhimu wa Mahakama na sheria nchini.

Huyu Chande si ndiye yule aliyekuwa anafungua na kuendesha semina elekezi kwa wabunge wa CCM? Ina maana huyu ni wa CCM si wa Taifa lote la Tanzania.

Kasoro hizo kwa vyo vyote zimemvua nafasi hiyo, kwani tangu amepata nafasi hiyo amezidi kuvaa koti linalompwaya. Haya ndio matokeo ya kueana nafasi za uongozi kwa mizengwe ya kujuana.
 
Aisee!!!!!kweli nimekubali kuna mijitu ignorant humu jf!! nakuomba ufungue attachment usome kilichofanyika mpaka mwisho.....acha kuendeleza upumbavu wa kutokubali ukweli............kwa taarifa ni kwamba jaji Chande na huyu mama ndio waliobaki hadi mwisho.....waliojitoa ni wazungu.........acha kupika ujinga......stupid.......

Nawe kama unadhani siasa hasa za dunia zinaendeshwa katika taarifa rasmi na magazeti then endelea na ujuvi wako.....
 
jamaa inamuuma sana ,kwanza yupo hapa analipwa kwa kuandika huo upuuzi na pili wanajua chande angeshinda ingewasaidia pale tutakapo mpeleka mkuu ICC kama kawaida yao wamsave, naona hilo sasa limekula kwao. Chande mwenyewe ishu za tz zimemshinda angeliweza hayo majukumu makubwa? Ishu kubwa ambayo nimepata taarifa ni kuwa kitendo cha Tanzania kutoitambua NTC ya libya ndiyo kimemharibia sana huyu jamaa maana wale wazungu waliojitoa walifanya maksudi kabisa ili jamaa aumbuke mwishoni.

Nakubaliana na wewe kabisa mkuu. Gazeti la Nation jana lili-report kuwa Judge Chande aliondoa jina lake baada ya kugundua kuwa upepo ulikuwa unaelekea kwa huyu mwanamama wa Gambia. Vyoyote vile watanzania wanatakiwa wamshukuru mungu maana kuwepo kwa huyu Chande the Hague kungewapa kiburi zaidi vyombo vya dola kuendelea kuuwa raia.
 
Chande angeshindaa ningeshangaa sana kwa sababu mahakama za Tanzania zote zinanuka rushwa, maamuzi batili na ukiukwaji mkubwa wa kanuni zinazotawala uendesheji mahakama. Majaji wengi ni wanasiasa ku;liko wanataaluma wa sheria

YAANI we acha tu, angeshinda huyu mtanzania mwenzetu, ningefungua mashtaka huko huko ICC! kupinga ushindi wake!
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu. Gazeti la Nation jana lili-report kuwa Judge Chande aliondoa jina lake baada ya kugundua kuwa upepo ulikuwa unaelekea kwa huyu mwanamama wa Gambia. Vyoyote vile watanzania wanatakiwa wamshukuru mungu maana kuwepo kwa huyu Chande the Hague kungewapa kiburi zaidi vyombo vya dola kuendelea kuuwa raia.

Nilishangaa sana kusikia amejitoa.............. Mtanzania anajito?? No way...... Kumbe amejitoa baada ya kuona game over!!!!
 
chande hana kitu kama baba mpayukaji palamagamba kabudiii, kimataifa hawa ni propaganda tu kama dr. bana
 
Back
Top Bottom