Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
Huyu katanguliza maslahi mbele ndio maana kaamua kurudi CCM. Mamluki wote wanaanza kujionesha .
fatma maghimbi kachukua kadi ya ccm leo.any insights???
Inasikitisha. Sijui nini kimempata Mama Maghimbi sikutegemea. lakini siwezi kutoa hukumu kwani huko CUF sikujui vizuri.
Yuko flexible jamani!waungwana wasiomjua bi fatma hawakuni kichwa kwani ni mtu alietumia miaka yake kumi na tano ya ubunge wa ke huko pemba kuwaambia wapemba kuwa watu wa bara ni wabaya yeye kaolewa nao na anawajua na alitumia maneno haya kwenye kampeni zake kuwagombanisha watu wa bara na visiwani kwa maslahi yake ya kisiasa , tusubiri sasa ameingia ccm kwani alikua akiwahutubia wana cuf na kuwaambia ccm ni wauwaji wa wapemba na wazanzibari sijui leo vipi bibi huyu anakula matapishi yake na kuingia ccm tusubiri tumsikie .
Fatma Maghimbi kachukua kadi ya CCM leo.Any insights???
Waungwana wasiomjua Bi Fatma hawakuni kichwa kwani ni mtu alietumia miaka yake kumi na tano ya Ubunge wa ke huko Pemba kuwaambia Wapemba kuwa Watu wa Bara ni wabaya yeye kaolewa nao na anawajua na alitumia maneno haya kwenye kampeni zake kuwagombanisha watu wa bara na visiwani kwa maslahi yake ya kisiasa , tusubiri sasa ameingia CCM kwani alikua akiwahutubia wana CUF na kuwaambia CCM ni wauwaji wa Wapemba na Wazanzibari sijui leo vipi bibi huyu anakula matapishi yake na kuingia CCM tusubiri tumsikie .
U mean mjenge miili yenu??Karibu mama tujenge ccm mpya!
Katika vitu ambavyo sitakaa nifanye katika maisha yangu ni kusema kitu hiki leo tena dunia nzima ikinisikiliza halafu kesho kufanya tofauti kabisa na maneno yangu ya jana. To me this is so embarassing, kweli hata watoto wangu watanishangaa sana. iweje majority ya wanasiasa wanaishi kwa uongo tena uongo mkubwa sana ina maana they have no one from their family to tell them this is not right ama kila mtu huku Tz anaona uongo ni sawa?Waungwana wasiomjua Bi Fatma hawakuni kichwa kwani ni mtu alietumia miaka yake kumi na tano ya Ubunge wa ke huko Pemba kuwaambia Wapemba kuwa Watu wa Bara ni wabaya yeye kaolewa nao na anawajua na alitumia maneno haya kwenye kampeni zake kuwagombanisha watu wa bara na visiwani kwa maslahi yake ya kisiasa , tusubiri sasa ameingia CCM kwani alikua akiwahutubia wana CUF na kuwaambia CCM ni wauwaji wa Wapemba na Wazanzibari sijui leo vipi bibi huyu anakula matapishi yake na kuingia CCM tusubiri tumsikie .