Ado Shaibu
Member
- Jul 3, 2010
- 99
- 111
"Nime-dare kuchukua kesi...
May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.
Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume...
Wewe kiingereza chako kisichokuwa cha ugoko kiko wapi?Wewe jamaa na hicho kizungu chako cha ugoko bado sana. Kuchanganya changanya lugha ndio nini?
Kuchanganya changanya lugha ni upuuzi mtupu.Wewe kiingereza chako kisichokuwa cha ugoko kiko wapi?
Kizungu kisicho ugoko anacho magufuli tuWewe jamaa na hicho kizungu chako cha ugoko bado sana. Kuchanganya changanya lugha ndio nini?
Msagaji ataenda kuleta nuksi bungeni
Upuuzi mtupu.Kizungu kisicho ugoko anacho magufuli tu
"Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia.
May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.
Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume
Msikilize zaidi hapa chini:
Huyu ref ajira yake kule barclays re"Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia.
May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place I'm supposed to be. May be I'm supposed to be in politics. Waswahili wana msemo, ukimpiga chura teke umemuongezea mwendo. So I'm very relaxed.
Ni muda wa kutafakari. Alot of people wamenishawishi Fatma ingia kwenye politics. Nilikuwa sitaki kwa sababu niliamini naweza kuleta mabadiliko Tanzania kwa kutumia sheria. Mahakama inaniambia usijaribu, ukijaribu TUTAKUONDOA. Hiyo ndio message niliyotumiwa". Wakili Fatma Karume
Msikilize zaidi hapa chini:
Ila ni ccm huyu
πππππππππππAkienda kugombea ubunge kule Pemba ni saa saa 3 asubuh atakuwa ameshapita Kwa Kura zote...
Serikali imebugi Sana kuruhusu huyu Dada kuingia bungeni ni Bora angebaki kule Kwenye Sheria maana atawanyoosha kwelikweli mjengoni