Fatma Karume, kubali umeteleza

INDEED!
 
She is also Sodomized kwanini asitetee anacho kifanya?
 
Okay,
Kama hoja ni uhuru wa kutowabugudhi.
Upo tayari mwanao wa kiume / Kike kuingia katika 'same sex marriage' au wanao au ndugu yako wa damu kuwa homos kwa kuwa ni uhuru wa miili yao?
Je wewe upo tayari mfano ku 'grant civil partnership' = to allow same sex couples to acquire similar rights as heterosexual couples?
Kufumbia macho eti 'miili yao watajijua', hainihusu Mimi, ndo kiliwafanya kizazi cha Sodoma na Gomorrah kuteketezwa wote.

It has to be condemned by every person of a sound mind.
Kwa wakristo haipo kwa amri zile kumi lakini ni kufuru kubwa sana katika dini na hata babu zetu kabla ya hizi imani kuja katika jamii zetu watu wa hivyo hawakutakiwa na wala hawakusubiri sheria hizi mnazolalamikia kwa haziendani na kosa.
Anyway, watu wa kutetea haki za binadamu najua mpo kazini, lakini hizo mambo hata nafsi zenu siku moja zitawasuta.
Nakubali kutokukubaliana nawe katika hili.
 
Vipi kuhusu hao wanaolaani hilo lkn wao wanaiba wake za watu,
Tunapokemea ushoga hatujaruhusu maovu mengine kufanyika, mashoga yanafanya machukizo na hukumu yaliyopewa katika sheria za Mungu ni kupigwa mawe hadi kufa. Kwa maana nyingine yamelaaniwa.
 
Yasikie tu kwa jirani yasimkute mwanao. Anyway yaishe.
 
She is also Sodomized kwanini asitetee anacho kifanya?
Mkuu umeskia kauli ya seriiikali juu ya hii,
Umesema she is sodomised sababu katetea
Vipi na hii kauli ya seriikali
Chukua mlinganisho huo huo halafu nambie na seriii tuiitaje,
 
Mnaompinga Karume mnashindwa kuelewa jambo moja
Sheria ni sheria, ipo kwaajili ya wote
Inawezekana mtu amefanya jambo linalokukera sana lakini kukereka kwako hakuondoi haki yake ya kupata msaada wa kisheria, tukienda emotionally kama mtakavyo basi hakuna maana ya kuwepo kwa sheria wala mawakili, hakuna maana ya mahakimu wala mahakama kwasababu tunakamata watu na kuwahukumu wenyewe na mbaya zaidi tunazuia haki ya msingi ya kutetewa na kujitetea.
Huu ni ujinga!

Hakuna kosa lisilohitaji utetezi/mtetezi, kazi ya wakili ni kutetea haijalishi aina ya kosa hata kama ni mauaji, hiyo ndio maana ya haki.

Kama wewe unavyoona una haki ya kumhukumu mitandaoni naye ana haki ya kujitetea na kutetewa.
Hakuna mwenye haki ya kuvunja haki ya mwigine hata kama wewe ni rais wa mkoa.

Kuna haja kubwa sana ya kufundisha katiba yetu mashuleni.
 
Punguza jazba,
Twende Hoja kwa Hoja.
Vitu vingine havihitaji kushupaa na kupayuka kama hayawani.

Mimi kumtetea Shangazi kutumia Haki yake stahili ya kutoa maoni au kuwa na misimamo fulani hakumaanishi kuwa nachochea na kushabikia anachokiamini.

Yeye anayo haki kutetea anachoamini ni sawa kama wewe na mimi tufanyavyo sasa.

Si sawa na uungwana kukutukana kwa kuamini katika kile unachoamini wewe kuwa ni sahihi,
Hivyo hivyo kwako wewe kwangu.

Upendapo kujua msimamo wangu;
Sipendezwi na Usodomi lakini hiyo hainifanyi nione kuwa hao watu hawana Haki ya kulindwa na Sheria na hivyo wabaguliwe kama raia wa nchi hii lakini pia kama Binadamu huru katika Dunia hii ambao hawako sawa na wengine.

Wengi wa hawa tunaowaona na kuwanyanyapaa wamezaliwa na kasoro za kibaolojia,-Alaumiwe nani hapo?

Je, Tuwachome moto?

Nikujibu Hapo kwenye Kidhungu chako:
A sane mind,
As you self-proclaimed,
You should at least be rational,
Righteous, Non-judgemental and Indiscriminate.

People with healthy brains simply call this 'Leave and let live' stand.

Btw;
Mimi si mwanaharakati wala Wakili wa vuguvugu lolote kama unavyodhania,
Na hiyo hainifanyi nishindwe kutoa maoni yangu popote na katika lolote.

Upo?
 
Usjali, mjadala serikali imeshahitimisha.
 
-Dammit you nailed it!

Hapo ulipo kama Canteen wanapokea Tigo rusha,
Kula lunch mwaambie Mtu wa kaunta alete Bill kwangu:
+255 714 59 15 48.

Neno la Siri ID yako.

#dalalitz
 
Anatakiwa kutimuliwa, asisubilishwe kumaliza muda wake...atimuliwe kwenye cheo chake cha TLS; awe ame'kumradhi' ama la!!
 
Anatakiwa kutimuliwa, asisubilishwe kumaliza muda wake...atimuliwe kwenye cheo chake cha TLS; awe ame'kumradhi' ama la!!
Fatma Karume anazungumza kama mwanasheria .Na sheria mikataba serikali yenu imeviweka sasa yeye asiseme sheria inasemaje?laumu serikali yako kwa mikataba ya hovyo kama hiyo ya ushoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…