Fatma Karume, kubali umeteleza

Soma vizuri umuelewe. Hajazungumzia habari za mtu kujirekodi video akifanya mapenzi. Hilo liko wazi kuwa ni kosa. Iwe kwa kwa mwanaume na mwanamke au jinsia moja, hilo liko wazi kuwa ni kosa kupost. Nilichomuelewa ni ile kutaka kuwashtaki mashoga..sio sahihi, mwache mtu na fantasy zake..mtu anafanya private wewe inakukera nini?
Hayo ni maamuzi yake binafsi.
 
Dada Fatma uko sahihi 100% siku zote una ongea vitu unavyoona viko right,kusimama kwenye jamii ya ma homophobics na kutoa opinion Kama yako bila kujali fani Yako au nafasi yako katika Jamii ni Jambo la kiujasiri sana,TLS wana jembeee
Nawe kasagaji Nini
 
Two consenting adults cannot do their sexual acts harafu wasambaze mitandaoni na wabakie salama. Not free to that extent..
 
My damned demi please don't do these things of sodoma and gomorrah![emoji4][emoji4][emoji4]
Am not a lesbian. But kama mtu anafanya private mwache afanye ni mwili wake na ni maamuzi yake pia acheni wivu.
Ingawa ikitokea mwanangu akiwa shoga nitasononeka.
 
Kuna sehemu Fatma kazungumzia habari za kusambaza mtandaoni? Ni kama mnamlisha maneno
Two consenting adults cannot do their sexual acts harafu wasambaze mitandaoni na wabakie salama. Not free to that extent..
 
Sheria ya nchi inaruhusu ndugu ? Mbona mna vichwa vigumu
 
Kuna sehemu Fatma kazungumzia habari za kusambaza mtandaoni? Ni kama mnamlisha maneno
She forgot to mention it...so hana grounds za kuwatetea. Kwa alichokisema, anaweza kuwa sahihi. As long as unafanya yako chumbani mwako in private, it is ur own business.
 
Sheria ya nchi inaruhusu ndugu ? Mbona mna vichwa vigumu
Kwani sheria ni kitu ambacho hakiwezi kubadilika? Sasa ukimpeleka jela itasaidia nini? Ushoga utaisha? Zitafutwe njia nyingine za kuelimisha madhara ya ushoga lkn kumpeleka jela hakutasaidia chochote..mashoga walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.
Hakuna anayeweza kutokomeza ushoga Tanzania na hata duniani kwa ujumla.
Tuna mambo mengi ya maana ya kufanya.
Sifurahishwi na wanaojianika mtandaoni lkn km hajitangazi sioni tatizo lolote.
Makonda anavyotaka list ya mashoga anataka kuwafanyaje? Haya na hao wanaowapakua mashoga mmeshajua jinsi ya kuwakamata? Au mnawaonea tu wanaopakuliwa? Hii issue sio rahisi kama unavyodhani.
Wananchi hawana maji, huduma ya afya na mengine kibao leo mnakazana kuwaweka jela kina ben kinyaiya itakusaidia nini wewe?
 
Mwanamke haramu sana huyu kama nyama ya tako, sie wa bara bwana!
WEWEEEEEEEEEEEHH!!

Teh teh teh........

ALICHOKIFANYA FATMA NI KITENDO CHA USHUJAA AMBACHO MAFIRAUNI WANAFIKI KAMA NINYI MNAKIKWEPA LAKINI KUMBE NI WATAALAMU WAZURI WA KUTIFULIWA TOPE.

TUNAWAJUA VIZURI SANA NINYI SHEIKH!
 
INDEED!
 
Am not a lesbian. But kama mtu anafanya private mwache afanye ni mwili wake na ni maamuzi yake pia acheni wivu.
Ingawa ikitokea mwanangu akiwa shoga nitasononeka.
KABISA MKUU! HAIWEZEKANI MTU MZIMA MWENYE AKILI TIMAMU UPANGIWE JINSI YA KUFURAHIA MWILI WAKO!

EBO! SHERIA GANI ZA KIPUUZI HIVI!

MWISHOWE WATU WATAKATAZWA KUPIGA PUNYETO ILI WATUNZE MAADILI YA KITANZANIA!
 
KABISA MKUU!!
 
Wanafiki wengi sana. Unakuta mtu anakgonga tigo ya mwanamke lkn hapa anakemea ushoga. Upuuzi mtupu
KABISA MKUU! HAIWEZEKANI MTU MZIMA MWENYE AKILI TIMAMU UPANGIWE JINSI YA KUFURAHIA MWILI WAKO!

EBO! SHERIA GANI ZA KIPUUZI HIVI!

MWISHOWE WATU WATAKATAZWA KUPIGA PUNYETO ILI WATUNZE MAADILI YA KITANZANIA!
 
sasa binti kulala na babake mzazi na ngono ya watu wawili gays ama lesbians vina mfanano upi!!!!,

gays ama lesbians wao ndivyo walivyo hawavutiwi wala hawapendi kuwa na mahusiano na watu wa jinsia tofauti, wanafall in love na watu wa jinsia moja na wao

hiyo haimaanishi kwamba wao ni watovu wa maadili kwelikwli

na haimaanishi kuwa wana malezi mabaya kwelikweli ama ni watu wabaya kwelikweli,

mbona wapo wengi tu, na listi zinatajwa sasa angalia hizo listi zitajazwo utaona kuna hadi watu wenye heshima zao kwenye jamii, ndio uelewe mtu kuwa gay ama lesbian hakuna uhusiano na ukosefu wa maadili
 
Sheria ya nchi inaruhusu ndugu ? Mbona mna vichwa vigumu
MHESHIMIWA WEYE NDIO UNA BICHWA GUMU NA ZITO!

INAWEZEKANAJE UUMIE WENZAKO WAKITIFUANA MARRINDA VYUMBANI HUKO!??

HIVI UKO SERIOUS KABISA UNAUMIA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…