Fatma Karume, kubali umeteleza

Fatma Karume anazungumza kama mwanasheria .Na sheria mikataba serikali yenu imeviweka sasa yeye asiseme sheria inasemaje?laumu serikali yako kwa mikataba ya hovyo kama hiyo ya ushoga
Nimekupongeza; kuna watu hawaachi ushabiki kwa kila jambo; Amba Ruty alikuwa na partner wake; unamshitaki kwa lipi, nani kalalamika?
 
Foolish
 
Mi sijasoma uharo wote, nimeruka mwishoni kuona tweet tu.
Na naungana na huyo mwanamke, sipendi ushoga ila siwezi kukaa na kumuingilia mtu mambo anayofanya kitandani, kama umemlea mtoto wako vizuri hatokaa hata siku moja aje awaze ushoga, failed parenting tusikae tunawalaumu mashoga kua wanaambukiza wengine, ushoga hauambukizwi. We got better things to do than hunt down people who use their anus for pleasure.
 
Once again stupid lawyer ever in Tanzania.. Sijui wapumbavu gani walimchagua kuiendesha TLS.
 
Hapana Shangazi katereza atasababisha credibility yake kwenye jamii ishuke please shangazi jitafakari upya
Credibility yake itashuka kwa vilaza which unfortunately ni more than two thirds ya watanzania, ila kwa watu wenye akili wanajua she is right. Gays have zero effect to this nation, hawana chochote positive wala negative, yaani wapo neutral tu, kupoteza muda kudeal na watu kama hao na kuwaweka jela 30years is total bs. Yaani gay anapewa kifungo sawa na mtu anayebaka watoto au muuaji? it doesn't make sense at all.
 
KABISA MKUU! HAIWEZEKANI MTU MZIMA MWENYE AKILI TIMAMU UPANGIWE JINSI YA KUFURAHIA MWILI WAKO!

EBO! SHERIA GANI ZA KIPUUZI HIVI!

MWISHOWE WATU WATAKATAZWA KUPIGA PUNYETO ILI WATUNZE MAADILI YA KITANZANIA!
Kwa mantiki hiyo,hata adhabu za makosa ya kujaribu kujiua kwa hiari inabidi zifutwe mkuu?
 
Sasa elewa hiyo ni quote na link nimeiweka, huyo Coleman yupo kwenye Avatar ya mmoja wa wadau humu, na tulikuwa tunajaribu kumuelewesha juu ya huyo jamaa kwenye avatar yake, sasa sioni sababu ya kuniita foolish
 
Ingefaa kuwe na kigezo cha umri ili uchaguliwe kua rais wa tks watu wenye umri mkubwa wana hekima zaidi kuliko kupenda umaarufu, watu wa umri mdogo hupenda umaarufu kuliko hekima. Huyu bi dada kachagua kupenda sifa na umaarufu kuliko hekima.
 
Yan me hilo li mama clipend Mungu tu anisamehe nure
Mungu hatakusamehe kumchukia binadamu mwenzako tena hata sio ndugu yako. Humjui na wala hakujui unajiumiza bure hlf yeye hana habari kama humpendi.
Chukia na serikali yako pia maana haipingi ushoga.
Binadamu jifunzeni kumind mambo yanayowahusu mengine yaacheni kama yalivyo.
 
Atimuliwe kwa kosa gani?
Naamini waasheria wenzake wanamuelewa kuliko mimi na wewe tusiojua sheria yoyote.


Anatakiwa kutimuliwa, asisubilishwe kumaliza muda wake...atimuliwe kwenye cheo chake cha TLS; awe ame'kumradhi' ama la!!
 
Sasa elewa hiyo ni quote na link nimeiweka, huyo Coleman yupo kwenye Avatar ya mmoja wa wadau humu, na tulikuwa tunajaribu kumuelewesha juu ya huyo jamaa kwenye avatar yake, sasa sioni sababu ya kuniita foolish
Sijakuita foolish nimeiita hyo "qoute" ndo u foolish wenyewe. Kwani nimekwambia wewe mkuuu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…