johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,131
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema kwa Tanzania ni vigumu kuipata Lugha za Staha kwa sababu kuna tamaduni nyingi tofauti tofauti
Fatma amesema Kimsingi hakunaga Utamaduni wa Mtanzania kwa sababu Utaifa ni Tanganyika na Zanzibar
Jambo la muhimu kwenye hizi lugha ni Viongozi kuwa wavumilivu kama wenzao wa Marekani
Fatma alikuwa akihojiwa na Masoud Kipanya na Siza wa Clouds Media