Fatma Karume arudishiwa Uwakili Tanzania Bara

HAKI YA MTU HAIDHURUMIWI Mwendazake aliona amemkomoa
Magufuli alipiga bomu ofisi yake ya uwakili kutafuta mafaili ya ACACIA ili waharibu kesi. Huhakujua anapambana na nani;
1. Rais Mstaafu wa chama cha wanasheria wa Tanganyika.
2. Mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar
3.Mjukuu wa Muasisi wa Muungano na Rais wa Kwanza wa Zanzibar.
4. Wakili wa kujitegemea kutoka kampuni ya uwakili ya IMMA Advocates
5. Activist
6. Shangazi wa Taifa
 
Seriously nyie viumbe na namna mnavyohangaika na the Late Magufuli, kwa kujitahidi kila mara kulitaja jina lake kwa mabaya, nawaona mlivyo na upeo na kumbukumbu fupi.

- Adv. Mwabukusi; juzi tu ametoka kutishwa na mamlaka kutaka kumfutia uwakili wake, { inawezekana wameshamfutia}, kwani marehemu Magufuli yupo leo?

- Adv. Madeleka; huyu nae amekuwa akisumbuliwa kila siku kwa kutafutiwa kila aina ya sababu ilimradi wamfutie uwakili wake, kwani Marehemu Magufuli yupo leo?

Mkiwa mnaanzisha thread kuzungumzia jambo fulani, make sure kwanza unafanya uchunguzi mdogo, linganisha hali iliyokuwepo mwanzo na iliyopo sasa.

Kisha ujue ni vipi utauweka uzi wako ili ueleweke kwa namna sahihi, lakini kukurupuka kuanzisha uzi kwa mihemko ya kumsema The Late Magufuli, naona mnajidhalilisha tu, thread nyingi zimekaa kishabiki sana bila kujali mantiki.

Jina la Magufuli limewatia wengi wenu upofu wa akili kwa namna ya kushangaza sana, mmekuwa kama ndege kasuku wote mnaimba wimbo mmoja bila kutafakari mantiki ya jambo mnalozungumzia.
 
Seriously nyie viumbe na namna mnavyohangaika na the Late Magufuli kwa kujitahidi kila mara kukitaja jina lake kwa mabaya, nawaona mlivyo na upeo na kumbukumbu fupi.

- Adv. Mwabukusi, juzi tu ametoka kutishwa na mamlaka kutaka kumfutia uwakili wake, { inawezekana wameshamfutia}, kwani marehemu Magufuli yupo leo?

- Adv. Madeleka, huyu nae amekuwa akisumbuliwa kila siku kwa kutafutiwa kila aina ya sababu ilimradi wamfutie uwakili wake, kwani Marehemu Magufuli yupo leo?
Wewe uko biased sana na comments zako sijui wewe ni ndugu na Magufuli? Au sijui ulikuwa ni mmoja wa hawara wa Magufuli??

Yaani badala ya kuunga mkono hatua ya kumrejesha Fatma Karume kwenye uwakili, mwanamke mwenzio aliyedhulumiwa ofisi na Magufuli kwa kupiga bomu.

Kisha watu wa Magufuli kina Biswalo na Feleshi wakamnyang'anya UWAKILI wake kwa kumtumikia DHALIMU. On the contrary unatuletea habari za Mwabukusi.

Kiumbe wa ajabu sana
 
...Umeandika upuuzi mwingi ila nakuacha tu kwasababu ya Ijumaa Kuu, mjinga nikupe shule.

Nilikwambia tangu jana, Magufuli nilikuwa namponda akiwa hai, wakati huo wewe ukiwa kijijini kwenu.

Nakuwa biased kwasababu wengi wenu mnaonekana kumshambulia Marehemu Magufuli kwa makosa ambayo bado yanatendeka mpaka sasa, huu upeo wenu unaoishia saizi ya pua zenu unashangaza sana, poor lazy GT's.

- Hamjiulizi huo uamuzi wa kumfungia Fatma ulikuwa wa marehemu au wa system?

- Kama ulikuwa wa marehemu, mbona bado wengine wanafungiwa mpaka leo?

- Na kama ni uamuzi wa system, kwanini mnakata viuno kushangilia tatizo ambalo bado tunaishi nalo?

- Hapa sio wewe ndie unaeshangilia mwanamke mwenzio kutolewa kufungoni, ndio maana huwajali wanaume wanaoendelea kuteswa na system?

- Ajabu hutaki Adv. Mwabukusi atajwe, kwani yeye hana haki ya kuendelea na uwakili wake? hujioni ulivyo mpuuzi kwa kufurahia haki aliyorudishiwa Fatma leo, kisha kupuuzia haki hiyo hiyo aliyonyan'ganywa Mwabukusi jana? au wewe ni HG wa Fatma?!

Tangu jana nakwambia akili hauna unaona nakuonea, tatizo lako upeo, uchawa, mihemko, na ushabiki tu, huku ukiwa na very poor thinking capacity.
 
Magufuli alipiga bomu ofisi yake ya uwakili kutafuta mafaili ya ACACIA ili waharibu kesi. Huhakujua anapambana na nani;
1. Rais Mstaafu wa chama cha wanasheria wa Tanganyika.
2. Mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar
3.Mjukuu wa Muasisi wa Muungano na Rais wa Kwanza wa Zanzibar.
4. Wakili wa kujitegemea kutoka kampuni ya uwakili ya IMMA Advocates
5. Activist
6. Shangazi wa Taifa
Saafi kabisa
 
Wewe uko biased sana na comments zako sijui wewe ni ndugu na Magufuli? Au sijui ulikuwa ni mmoja wa hawara wa Magufuli??

Yaani badala ya kuunga mkono hatua ya kumrejesha Fatma Karume kwenye uwakili, mwanamke mwenzio aliyedhulumiwa ofisi na Magufuli kwa kupiga bomu.

Kisha watu wa Magufuli kina Biswalo na Feleshi wakamnyang'anya UWAKILI wake kwa kumtumikia DHALIMU. On the contrary unatuletea habari za Mwabukusi.

Kiumbe wa ajabu sana
Niko JF tangu ikiwa Jamboforums ila ilipogeuka kuwa Jamii Forums tarehe yangu ya kuingia ni 2011.
Screenshot_20240329_215250_Chrome.jpg

Halafu mshamba wewe toka Kazuramimba umeingia mwaka jana unataka kuleta ligi na mimi.
Screenshot_20240328_150442_Chrome.jpg

Wewe kila akitajwa Magufuli unapata tumbo la period!!! Daaadadeki
 
Back
Top Bottom