Fatma Karume achambua suala la Barrick/Acacia & makinikia

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,986
2,000
Amenena shangazi Fatma Karume kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya serekali jana kuingia mkataba na "beberus" Barrick.

Tunaendelea kuliwa kama nchi..... au tutaliwa zaidi chini ya awamu ya 5 it seems. Hiki chama (CCM) nina kadi yake but moyoni kishanitoka kabisa.

Sitii neno zaidi hapa. Self-explanatory wenyewe wanasema.

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,096
2,000
Huo sio uchambuzi bali ametoa maelezo kwa ufahamu wake!

CCM ninailaumu sana katika sera ya elimu kwa sababu kuna kundi kubwa la vijana wanaojiita wahitimu wa vyuo vikuu lakini kiuhalisia bado ni wajinga wa kiwango cha sekondari (Ordinary level)!

Yaani mleta mada kwa akili yako ''kubwa'' unadhani huu ni uchambuzi?
 
Nzi ni nyuki mjinga

JF-Expert Member
Jan 13, 2020
1,084
2,000
Hivi 50/50 ya faida na hasara mnaiona ndogo? Unless hiyo faida si faida ninayoijua mm bali kwenye huo mkataba neno faida lina tafsiri nyingine. Kama ni tafsiri hii hii basi tumeula na ajira si zitatoka tu tena wataajiriwa maana hawawezi kufanya kazi bila watumishi.
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
3,889
2,000
Kiukweli maamuzi yale wengi walipoteza ajira, familia, wadau kuyumba,kodi serikali ikishuka pia. Suala la 16%; ilikuwepo 15%; lilikuwa suala majadiliano, 50/50 tata sana; serikali ina 30% corp tax na vat 18%!
Madai ya Trillion 490,Tzs yameyeyuka, kishika uchumba $300M, sijui tumelipwa!?

Kwa mujibu wa mpatanishi kiongozi wetu hali ilikuwa tete sana.Barrick walituchezea mchezo kama kususa vile,Mara wamuuzie mchina, finaly kaburu Rand gold pahala pa Acasia.

Kiufupi tumejiumiza wenyewe, hasara kiuchumi ni kubwa kuliko faida.Pia iliondoa na kupunguza imani wawekezaji wakubwa ktk taifa letu.

Wachumi wabobezi wanaweza weka details.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bumbiza

Member
Nov 12, 2019
67
125

Lakin yule mkurugenzi wa Barrick amsema kuwa Tanzania haifukuzi wawekezaji bali inataka fair share!! Sidhan kama wewe una ufahamu wa madini kuliko yeye!
 
Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
635
1,000

A good fresh start is better than being the same eerday wapungue tu siyo issue ni bora tuanze upya kwanza tumeokoa na mataifa mengine yataona 50/50 kwa miners inawezekana kuna mataifa mengi yanapigwa tu kwa ubeberu huu.
 
KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
1,012
2,000
Watu 2000 wakapotezeshwa ajira na leo makinikia yameruhusiwa kuuzwa kama kawaida na Jiwe amesema anamfahamu mnunuzi
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
3,889
2,000
Lakin yule mkurugenzi wa Barrick amsema kuwa Tanzania haifukuzi wawekezaji bali inataka fair share!! Sidhan kama wewe una ufahamu wa madini kuliko yeye!
Mkuu unakumbuka kauli,haiba ,matamko ,hadhira mkuu wa nchi akitangazia umma Kamati Prof.Mruma/ Ossoro!? Mkuu wa nchi ni kiongozi no.1, ilikuwa habari kubwa duniani! Kisha fuatilia kilichofuata Bungeni, rejea hitimisho mikataba juzi, Ni kama mbwa aliyepigika tumeficha mkia,rejea hotuba Kabudi na mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
8,926
2,000
Huo sio uchambuzi bali ametoa maelezo kwa ufahamu wake!

CCM ninailaumu sana katika sera ya elimu kwa sababu kuna kundi kubwa la vijana wanaojiita wahitimu wa vyuo vikuu lakini kiuhalisia bado ni wajinga wa kiwango cha sekondari (Ordinary level)!

Yaani mleta mada kwa akili yako ''kubwa'' unadhani huu ni uchambuzi?
Na wewe punguani maelezo marefu kama headlines za gazeti la udaku halafu ujinga mtupu.
 
Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
635
1,000
50/50 kwa hisa 16 ni miujiza inayohitaji ufafanuzi wa kina.
Tatizo lenu wabongo mnashindwa kuelewa haya madini ni yetu huo ndo mtaji wetu hata kama tutakua na share kidgo ya 16% in terms of fund but mtaji wetu mwingine mkubwa out of share ni ardhi yenye madini come wabongo hivi mnawaza kwa kutumia nn ? Kwann wasiende kuchimba kwao na hizo fund zao?
 
simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
14,934
2,000
Tatizo lenu wabongo mnashindwa kuelewa haya madini ni yetu huo ndo mtaji wetu hata kama tutakua na share kidgo ya 16% in terms of fund but mtaji wetu mwingine mkubwa out of share ni ardhi yenye madini come wabongo hivi mnawaza kwa kutumia nn ? Kwann wasiende kuchimba kwao na hizo fund zao?
why share 16% pamoja na kuchangia ardhi na madini? Established practice gawio is in proportion to shares.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom