Father Charles Kitime aviasa vyama vya Siasa kupendana

Mbona umechukua kaeneo kadogo ka video clip yake? Naona hukutaka kuyasikia mengine mazuri aliyoyasema halafu hii clip ya siku nyingi sana ni ya mwaka jana mwishoni mkuu.
Inaondoa ukweli wa alichokimaanisha ?!. Watetezi wa Lumumba unafki mtupu

Odhis *
 
Yani hili cjui la nchi gani,dunia inahangaika na corona lenyewe linakja na mambo ya kijinga
 
Kupendana anakozungumzia Father Kitime inabidi kulazimishwe na Katiba ya Nchi. CCM haiko tayari kukubali kutendewa sawa na vyama vingine, kwa sababu iliyo wazi kabisa, kwamba hili likitokea ndiyo mwanzo wake was kupoteza madaraka.

Vyama vingine vikitaka usawa wadai katiba mpya na wala si tume huru ya uchaguzi kama wafanyavyo sasa! Tume haiwezi kuwa huru kwenye katiba ambayo kiongozi wa dola ni kila kitu na ina vimelea vya chama kimoja.
 
Wakati wa yesu, wala watu walichoka kulipa kodi kwa kaisali hivyo wakataka msaada kwa mtu wa mungu li awasaidie kero ya kodi lakini yesu hakutaka kushughulika na mamlaka za dunia akawambia ya kaisari mpeni na ya mungu mpeni mungu, na mambo ya mungu ni ya kufikirika huwezi yaona direct lakini ya kidunia unapambana nayo kila siku, sasa fadher kitine anapaswa kuchagua awaombee watawala hadi watimize anayohisi ni sahihi, vinginevyo aingie kwenye siasa atapata wasaa mzuri zaidi, maana toka akiwa mwanza siku zote yupo hivyo, inaonekana anapenda siasa.
Kwako ukiwa kiongozi wa dini ni lazima uwe mnafki !!. Hii dhana umeitoa wapi ?! Elimu yako imekusaidia nini ? Hovyo kabisa

Odhis *
 
Badala ya kuomba Mungu atuepushe na Corona, anahangaika na siasa. Kwanini asijiunge kabisa ijulikane moja. Ni mwanasiasa
Swali kabla hujaswaliwa.Halafu lazima uangalie na jukwaa (forum) alipotolea maoni hayo.Utakuwa ni mpuuzi Kama umealikwa ktk jukwaa Lenye kuhusisha siasa,badala ya kutoa Mchango wa kisiasa wewe unaibuka na maombi yaCOVD 19.
 
Kwanza anaitwa Father Kitima na sio Kitime.

Na Father Kitima ni mshikaji wake sana sana na Magufuli,wayback Tangu Kitima akiwa Mwanza.

Nadhani Kitima hapo ameona hamna namna bora aongee tu maana anachokisema hapo ni msimamo wa TEC.
 
bora nchi igawanyike kama siria,serikiali iwe na kipande chake na upinzani kipande chao cha kutawara
 
Kanisa linafanya kosa kubwa sana kukaa kimya,kwanza lingewafuta waumini waletao shida hizi,ni kumkosea Mungu na kulidhalilisha kanisa kuruhusu waovu kusimama kwenye mimbari.Wasipotengwa au kufutwa kabisa ushirika waovu hawatoweza acha uovu wao wataendelea kuwatesa wanadamu wenzao
 
Badala ya kuomba Mungu atuepushe na Corona, anahangaika na siasa. Kwanini asijiunge kabisa ijulikane moja. Ni mwanasiasa
Yaani watu wa CCM bana, kiongozi wa dini akitukana upinzani au tu akisifia CCM, kama yule Kardinali Pengo, hafanyi siasa. SAFIIII. Lakini akiiponda CCM kwa maovu yake, ambayo yapo kweli, huyo hafai, ni mwanasiasa. Achague moja. Dini au siasa. WEZI WAKUBWA NYIE.

Hawa ndio viongozi wa dini tunaotaka, ambao hawaogopi watawala na wala hawajipendekezi. Hongera sana Father!!
 
Screenshot_20200405-135807_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20200405-135807_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20200405-135807_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom