Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,954
- 7,113
Wadau hiyo ndio meseji napata nikiwasha pc yangu ilitokea baada ya ku-restart windows to apply updates! Help please.
Ni pc aina ya lenovo T410s, haina CD drive! chief-mkwawa shalobaro MziziMkavu, e2themiza na wengine wote help tafadhali!
Ni pc aina ya lenovo T410s, haina CD drive! chief-mkwawa shalobaro MziziMkavu, e2themiza na wengine wote help tafadhali!
Last edited by a moderator: