Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Gharama zinatumika kubwa sana! Na ninachokiona na kujiuliza je hizi bwebwe zote hizi Makonda anazozifanya katika kampeni hizi pesa zote anazitoa wapi?
Je anahuwakika wa kushinda na baada ya kushinda anauhakika wa kula uteuzi mkubwa wa uwaziri? Na hapo ndipo atakapozirejesha hizo pesa zote alizotumia kwenye kampeni?
Maana miongoni mwa wagombea ubunge wa CCM ambaye ameonyesha kutumia pesa nyingi kwenye mikutano yake hadi sasa ni yeye!