"FastJet ya Wakoloni" Yashindwa kupaa

"FastJet ya Wakoloni" Yashindwa kupaa

Jidu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
1,232
Reaction score
757
Hii imetokea huko kwa "Malkia Eliza" Pale ndege ya bei rahisi kushindwa kuruka kuelekea uswisi baada ya kuwa na idadi kubwa ya abiria waliozidi uzito unaotakiwa ndani ya ndege kwa viwango vilivyowekwa na mamlaka husika ya nchi hiyo.Ndege iliendelea na safari baada ya Rubani kuwasihi watu wajitolee kushuka ili waweze kuruka na ndipo watu wanne walipojitolea kwa hiari kushuka ndani ya ndege hiyo inayotoa huduma za chini za nauli.ipo siku na hii ya kwetu itakuwa hivyo nachelea isije lazimishwa kuruka na kutuletea maafa !
Capture.PNG
 
Jina lenyewe ni EasyJet, unategemea nini? Afadhari ya hapa ni FastJet!
 
ahahahaha comedy in this world will never end.
 
Back
Top Bottom