Wahi ighembe nsabo tu
Wanaikagua kwa kuwa Engine za ndege zilikuwa tayari zimepewa full power (realease full power kwa ajili ya take off), hivyo tulivyosimama ghafla sana Engine zikawa shuttered, yaani zikaloose power from say lab[MENTION][/MENTION]da 100% to 0% in seconds, kitu ambacho sio kizuri. Pilot amerudisha ndege kwa ukaguzi kama kuna any damage imepatikana kutokana na kuabort landing ghafla akiwa speed tayari.
Nashukuru Mungu tumepona na kusalimika. Yaani sijui sasa hivi ingekuwaje
Wahi ighembe nsabo tu
Wahi ighembe nsabo tu
dah hii ishu ya Germany wingsKweli muhe wa ajali umekukamata.
Mme abort landing au take off?
Usihofu sana ni zoezi la kawaida katika mazingira hayo....na rubani akaguliwe akili tafadhali
Wakuu,
Naandika hapa huku mapigo ya moyo yapo juu sana. Natokea Mwanza muda huu na flight ya saa8:25 fastjet kurudi Dar. Tumefika kwenye run-way na mbio zikaanza za kutafuta speed ya kupaa, wallahiiii ndege si wakakatiza ghafla juu na si tayari Kasuku (fastjet) yupp kibati... Aiseee zimefungwa break mpaka tumehama ndani pamoja na mikanda kufungwa.
Nashukuru tuko salama na imebidi turudi tutoke nje ya ndege. Tumerudi terminal ndege inakaguliwa