Fastjet wazuiwa kuingiza ndege mpya. Wanyimwa vibali, watakiwa kuondoka

Leo hii ATCL inatengeneza hasara ya mabilion .
Mbona hatujakuona unatoa ushauri juu ya hiyo hasara tunayopata?

Ina maana tulinunua ndege tutengeneze hasara au faida?

Waliofanya hayo maamuzi ya kufuja fedha za walipa kodi walaaniwe woote.
Mkuu Mmawia biashara ya ndege sio kama zile za maparachichi au mihogo mibichi inayotembezwa ndani ya vikapu.

Ni biashara tofauti na nyingi unazozifahamu.
 
Back
Top Bottom