Fastjet tukumbukeni na Kigoma jamani!

Fastjet tukumbukeni na Kigoma jamani!

Nafikiri uwanja ndio tatizo,wala so uchawi kama alivyosema gala mmoja
...Ule uwanja ndege wa Kigoma nakumbuka ulikuwa ukifanyiwa upanuzi na maboresho mengine ili kuruhusu hata ndege kubwa kama Airbus za Fast Jet kutua. Labda wanahisi hakutakuwa na abiria wa kutosha ukizingatia Presicion Air na ATCL nao wanapeleka ndege. Lakini kiukweli jamaa kutoka Congo, Rwanda na Bujumbura watajaza ndege kwa zile bei za Fastjet.
 
Fanya mabadiliko fastjet itakuja tu, ila ukiendelea na CCM imekula kwenu hakuna cha fastjet, hakuna barabara ya lami, wala hakuna treni ya maana. Kweli maagufuli na CCM HAPA KAZI TU
 
Ndoto yako imetimia.FastJet wataanza safari yao ya kwanza Dar Kigoma March 1, 2018.Nauli kutoka Dar mpaka Kigoma itakuwa 123,000/=

Dah Saratoga na adventure kwaheri..
tsh123000/= bei halali au ya promotion?
 
Fstjet mbona mnatunyanyapaa wadau wa KIGOMA anzishen safari za huku mtapata watu sana si wa kigoma tu bali hata nchi jirani za BURUNDI, RWANDA hata CONGO DRC tunateseka na bei za kupaa kwa ATCL na barabara za kulala njiani kila siku
mtakoma wabishi sana nyie waha wakati wa uchaguzi mnajifanya hamnazo mtaendelea hivyo hivyo mpaka 2020
 
Back
Top Bottom