Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Pole kwa sababu gani?Hahaa polee sana,,watu wa mombasa wanapitisha bizaa za azam kila kukicha kupitia Tanga,,ama kwa njia za vichochoroni ama halali...all in all they need azam products..
Mimi sina pingamizi yoyote, nashangaa kwa nini usiwajibu hao watu waliotoa hizo comments kuhusu Azam?
Sio mimi...
https://www.jamiiforums.com/kenyan-news/723529-dangote-to-set-up-powder-milk-factory-3.html
Nafkiri ni kuanzia page 3 hapo.