Unalipa 32000 au hata 100,000,kwenda kurudi kj na unachelewa???nyie ndio wapuuzi wote 8,mshafanya hilo daladala.basi la mkoa lenyewe halisubiri abiria itakua ndege.nawapa sifa hao staff maana wangewaendekeza nyie itakuwa taabu mtataka hata kutumiwa gari nyumbani kuwachukua na buku 30 zenu nyambaf.
Wabongo ukiwachekea hawakawii kumwambia rubani asimame chalinze wanunue nazi za kwenda nazo moshi.
Tena watataka badala ya kutua kia, ndege iwe inashusha na kupakia njiapanda ya imo, kiboruroni nk.

Hahahaha, najuuuta!Wabongo ukiwachekea hawakawii kumwambia rubani asimame chalinze wanunue nazi za kwenda nazo moshi.
Tena watataka badala ya kutua kia, ndege iwe inashusha na kupakia njiapanda ya imo, kiboruroni nk.
wewe inaonekana uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo,jitahidi usafiri kwenye nchi zenye mwanga kidogo ubongo utapata mwanga
,delay kwenye airline yoyote ni kitu cha kawaida,wabongo wengi tumelakla sana,amkeni mtembee kidogo

Mkuu hiyo mbona ishatokea KIA watu tulikaa kimya tuu yaani sasa hivi ndege zimepanda wapandaji
Fungua attachment hiyo