Fastjet kupunguza wafanyakazi

Fastjet kupunguza wafanyakazi

Kama ni wet-leasing, restructuring inaweza kuwa kubwa itakayo-ondoa wafanyakazi wengi. Kwa sababu wet-leasing wanatoa ndege na wafanyakazi yaani crew and ground staff.
 
Kwahiyo hao redundancy wanaenda wapi???? Basi nendeni kenya ma redundancy.
 
Makato yako ya fao lakujikim ndio yapo kwenye mswada upewe 30% au 50% mkuki Kwa nguruwe.
 
waje tulime nyanya,ni time ya kuishi kama mashetani
 
Back
Top Bottom