FASTJET kulipisha tiketi kwa Dola

FASTJET kulipisha tiketi kwa Dola

chakutaka

Senior Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
150
Reaction score
14
Leo hii nikiwa ninataka kukata tiketi online ili na mie nipande pipa la fastjet kuelekea jijini Mwanza nimekutana na malipo yaliyonichanganya kwani nilipigwa na butwaa kuona kuwa gharama ya tiketi hizo kuandikwa kwa Dola wakati zamani tulikuwa tukilipa kwa shilingi. swali langu kwao FASTJEt. Je, serikali imeruhusu suala hili?

Sisi walalahoi kuambiwa tiket ni dola kadhaa hivyo inabidi tuchange madafu yetu ili yaendane na gharama ya Dola kwa siku husika?

Why Dola, bado najiuliza.
 
Back
Top Bottom