Andre02150
JF-Expert Member
- Feb 2, 2010
- 332
- 129
Shirika la ndege la FastJet linahujumu sisi wasafiri hasa kipindi hiki cha sikukuku. Shirika limefuta safari zake zote na kuwataka abiria wenye ticket kuwasiliana na ofisi zao ili warejeshewe pesa zao.
Ajabu namba za simu pamoja na e-mail hazifanyi kazi. Abiria tumebaki hatujui hatima ya pesa zetu na huku serikali ikiendelea kukaa kimya.
Ni vyema mamlaka husika zikaingilia kati katika sintofahamu hii ili kunusuru pesa zetu sisi wasafiri.