FASTJET has taken over FLY 540 shares!

FASTJET has taken over FLY 540 shares!

ExpertBroker

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2009
Posts
454
Reaction score
108
“We are delighted to be announcing the acquisition of Lonrho Aviation’s Fly540 business with its unique platform of hubs, fly rights and growing passenger revenue base. The combined talents of Rubicon’s management team and our partners from Lonrho and Sir Stelios’ easyGroup will transform Fly540, already a growing and successful business, into Fastjet, a low cost, point-to-point, no frills all jet airline for Africa.”


Ed Winter, consultant to Rubicon and intended Chief Executive Officer of Rubicon following Completion said:


“The African aviation market is significantly under-served and there are major opportunities for growth in the aviation industry across Africa where current offerings are, with a few exceptions, sub-standard compared to international norms. With rising GDP and consumer spending, and changing demographics, Africa is ripe for a democratisation of air travel. We plan to achieve that through the launch of Fastjet, the first true pan-African low cost airline operating to European standards of safety security and quality.” Wapi AIR Tanzania? What are plans ahead?


On 6 August we announced the change of the Company’s name to FastJet Plc, reflecting our focus on the launch of FastJet branded services in Africa. The trading symbol for FastJet stock on the London Stock Exchange is now FJET.

On 24 July the Company announced the completion of a £5.5 million placing of shares to assist in the funding of the launch of FastJet. We also announced we had entered into a £5 million equity financing facility, providing flexibility to raise additional equity over time as required.



On 13 June 2012 we announced the acquisition, subject to shareholder approval, of Lonrho Aviation, the African airline operating under the Fly540 brand owned by Lonrho Plc. CLICK HERE for the announcement. For further information on Fly540 please visit www.fly540.com and www.fly540africa.com. A general meeting of shareholders was held on 29 June 2012 to vote on resolutions related to the acquisition, and it was announced on 2July 2012 that the acquisition had been completed. On the same day the Company announced the appointment of Ed Winter as Chief Executive Officer.

Source:Home - FastJet Plc
 
Habari wana jf
Eti fastjet ni mtoto wa 540 aliyekimbia kodi serikarini na kuja na jina jipya na kivingine.....kabisa?????????!!!!!!

Kama ni kweli kwanini mchezo huu wa kubadilisha majina kwa makampuni unaendelea sana nchini.... huku wakubwa na mawizara yao wakiwa kimya?????!!!!

Ok mungu bariki africa
mungu bariki Tanzania
mungu bariki fastjet isiwatupe . ... watu kama inavyosemekana ili . . kuua soko lake kwani imepunguza . . mapato ya makumpuni mengine, ... . Tuseme..... Ameni.

V
SENGEREMA
 
Mbona walitangaza kwamba wanakuja na jina jipya baada ya kuliondoa hilo la 540!
 
Jamani nimetoka kukunja sura na stori za lissu,sasa tenaaaa hizi,mmmh
 
Nashangaaa!!! Tanzania yetu hii masikhala mengi. sera ya Nchi juu ya wawekezaji ni kwamaba ''MJIVUNIE KUVUNA, BAADA YA MIAKA MITANO WE BADIRI JINA LA KAMPUNI ILI USILIPE KODI, HALAFU MI NIPE ml. 500 NIMALIZIE GHOROFA YANGU PALE MBEZI NITAWALINDA!!''. Hatuna jipya wa bongo.
 
Habari wana jf
Eti fastjet ni mtoto wa 540 aliyekimbia kodi serikarini na kuja na jina jipya na kivingine.....kabisa?????????!!!!!!

Kama ni kweli kwanini mchezo huu wa kubadilisha majina kwa makampuni unaendelea sana nchini.... huku wakubwa na mawizara yao wakiwa kimya?????!!!!

Ninavyofahamu mimi 540 ilikuwa inamilikiwa na mtu/watu wengine kabisa. Na kilichofanyika ni FASTJET wameinunua 540. Huu ni utaratibu wa kawaida kabisa unaotumia na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kuingia kwenye soko - unanunua biashara ambayo tayari ipo kwenye soko, hivyo unakuwa tayari na somesort of market base.

Founder wa FASTJEST hana mambo ya magumashi na nina hakika atabadilisha sana usafiri wa anga kwa ukanda huu.
 
majungu yameishaanza,acha raia masikin ambao awajawai ota kupanda ndege nao wapumueeeeeee
 
vyovyote poa tuu wabadili jina wasibadili jina sawa tuu yote poa iwe ya kigogo vyote poa tuu ili mradi ninatumia pesa yangu sawa tuu kwani air tanzania ilikufaje mara ya kwnza kwan
 
Ninavyofahamu mimi 540 ilikuwa inamilikiwa na mtu/watu wengine kabisa. Na kilichofanyika ni FASTJET wameinunua 540. Huu ni utaratibu wa kawaida kabisa unaotumia na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kuingia kwenye soko - unanunua biashara ambayo tayari ipo kwenye soko, hivyo unakuwa tayari na somesort of market base.

Founder wa FASTJEST hana mambo ya magumashi na nina hakika atabadilisha sana usafiri wa anga kwa ukanda huu

Waje wawekezaji kama hao! Na waendelea kuwemo maana nategemea kwenda krimas kwa ndege. Sikutegemea. Kama nitapanda maishani. Halafu mtoa thread ni bumbumbu wa mambo ya makampuni. Hata yeye anaweza kununua hisa zote za fasjet halafu kaita jina l lake menyewe
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Ni kweli ndiyo hao hao fly540, na ofisi ni zilezile. Huu utaratibu wa kubadilisha majina baada ya miaka mitano ili kukwepa kodi kuna vigogo serikali wanaofaidika nao. Ni baadhi ya matokeo ya sheria mbovu tulizonazo, na wabunge wetu wanafumba macho kama hawaoni. Jamani tunahitaji serikali za majimbo katika katiba mpya.
 
Kutokana na matangazo yao fastjet leo ndio waliahidi kuzindua na ndio siku ya kuanza kutoa huduma ya usafiri wao, kama kuna watu wameshuhudia watujuze kitu gani kimeendelea, na vipi huduma zao, ziko poa au magumash ? Na ndege zao vp ? Na yote yaliyojiri.
 
We acha tuu, jamaa wana huduma moto moto, nimetua KIA masaa machache tu, Mambo iko huku, hii ni mapinduzi katka usafiri wa anga. Serikali iboreshe viwanja mikoa mingine tuachane na check point za trafiki barabarani
 
Hizo ndege zao zina kiwango? Kwa mwenye picha atujuze at least tuone hivyo vi-ndege vyao visije kuwa ni size ya njiwa tu
 
Ni zile zilizokuwa 540 nipo uwanja wa mwanza airport najiandaa kuja dar kwa nje ni nzuri ngoja tusubiri huduma zao ndani tutawajuza.
 
Kutokana na matangazo yao fastjet leo ndio waliahidi kuzindua na ndio siku ya kuanza kutoa huduma ya usafiri wao, kama kuna watu wameshuhudia watujuze kitu gani kimeendelea, na vipi huduma zao, ziko poa au magumash ? Na ndege zao vp ? Na yote yaliyojiri.

Kwa bei hiyo hawatamudu let us wait and see!
 
kwani 540 imefikisha miaka 5? kingine sioni haja ya kuwalaumu fastjet au 540 kwa kubadili jina serikali ndo ya kulaumiwa kwa kuruhusu sheria ya tax holiday.
 
Back
Top Bottom