MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,582
Niaje wadau,,
Hopin humu kuna wahusika wa fast jet.. Leo mmekera na kuboa kuliko kawaida,,
Inakuwaje mna cancel flight ya Mwanza late.. Hata kama ndege ya mchana mbovu mbona wa asubuhi wameondoka? Na msiende na kurudi na kubeba wengine mchana kwa ndege hiyo hiyo.. Ticket zenyewe mnauza gharama lakini bado hajatulia.. Mbona kipindi cha low season ticket mliuza kwa bei nafuu na ratiba ilikuwa uhakika?
Yaani leo mmekuwa team precision.. Wengine walikuwa wanaenda kwenye send of za ndugu zao sasa mmeshaharibu ratiba..
Shenzi kabisa airline za Tanzania