Ni kwa furaha tukaribishane katika jamvi la Habari, Mafunzo na Utaalam wa 'Ukiona Mbali katika Lugha ya Kiswahili'....
Farsight Institute, ikishughulika kutoka Atlanta, GA, hivi karibuni imemtambulisha Intysam Goldsmith kwenye jukwaa la 'Uona Mbali' kama mtaarifu katika lugha ya Kiswahili.
Huyu hapa Dk. Courtney Brown akilifungua jamvi la wafuatiliaji wa shughuli za Farsight katika lugha ya Kiswahili -- Akiripoti kutokea Meru, Kenya.
Habari za Farsight humu JF si ngeni -- zimekuwa zikitajwa katika nyuzi kadhaaa ikiwamo There is No Time Traveling,