Farkhina we have been missing you! Uko wapi!?

Huyu si fahkrina. Huyu ni mdau maarufu sana hapa JF mwalimu wa kifaransa anatumia Id ya Roullette

Aisee wamefanana mno tafikiri mapacha au pengine...!
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka sitamruhusu aongee hata na kaka yake au mjomba wake,no kutoka nje ya geti ,fulu kamera za ulinzi na walinzi ni wakike tu.ova
 
atakuwa kasafiri huyu, juzi nilimuona JNIA na akaelekea kwa wanaokwenda nje ya nchi, she is abroad.
 
Weupe ungekuwa deal ubuyu usinge pakwa rangi,kuweni na sura na ngozi za kazi kama mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…