Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,191
Hahahaaaaaa Ukweli Mchungu.
Huyo ni news anchor,inabidi asiwe tukunyema..awe na umbo la kuvutia..
Jamani kupangiana mwili uwe vipi Tena..!!!
kuna wengine wanapenda mizigo minene. kama wewe upendi basi.ila sisi wengine tanapenda wale waliojazia jazia neema za mnyaazmungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe pia punguza unene
Jamani kupangiana mwili uwe vipi Tena..!!!

Sawa
Ndio huyu?
Wewe lazima ni maswahiba na Shekhe Kipozeokuna wengine wanapenda mizigo minene. kama wewe upendi basi.ila sisi wengine tanapenda wale waliojazia jazia neema za mnyaazmungu.
Sent using Jamii Forums mobile app



