mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
Usikute waturuki wanapiga pesa nzuri kutokana na farasi huyo. Sisi tunaye twiga mweupe katavi nation park usikute hata waziri wa utalii halijui hilo na hata akilijua hataona kama ni ajabu la dunia.
Atakuwa ndo Buraq nini?
kipimo cha uzuri ni kipi ?
kwasababu ni waislamu? udini utakuua we mwanamke.
Usikute waturuki wanapiga pesa nzuri kutokana na farasi huyo. Sisi tunaye twiga mweupe katavi nation park usikute hata waziri wa utalii halijui hilo na hata akilijua hataona kama ni ajabu la dunia.
kwasababu ni waislamu? udini utakuua we mwanamke.
Kuna mwenye akili zaidi yako alishanijuza kitambo kuwa nchi yaitwa Turkmenistan na sio uturuki kama mie nilivodhani. Una lingine?Nani kakuambia anatoka Uturuki? Soma tena.
Km kwel mzur Dunian kuliko wote mbona hajaolewa? Yaan fikra zingine za kibwege uzur had wanyama?