Yiyu Sheping
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 1,720
- 841
Alikua na haki kusema hivyo na ni kweli.
Kwani hujui walichofanya nape na makamba wakati wa kuhesabu kura.
Ulisahau kauri ya nape kuwa kuwa hata iweje tutashinda hata kwa bao la mkono.
We unajua maana ya kauri hiyo?
Tayari ushamtaja na Makamba. Kuna lile jina akitwa na wapinzani, hivyo kazi yake ilikuwa kupaza sauti alizotumwa kuzipaza. Sasa ni vipi tena anasema, "mimi ndiye" Busara zero.
Na washawasha!