Farao asiyemjua Yusufu kaja

Alikua na haki kusema hivyo na ni kweli.
Kwani hujui walichofanya nape na makamba wakati wa kuhesabu kura.
Ulisahau kauri ya nape kuwa kuwa hata iweje tutashinda hata kwa bao la mkono.
We unajua maana ya kauri hiyo?

Tayari ushamtaja na Makamba. Kuna lile jina akitwa na wapinzani, hivyo kazi yake ilikuwa kupaza sauti alizotumwa kuzipaza. Sasa ni vipi tena anasema, "mimi ndiye" Busara zero.

Na washawasha!
 
"Upinzani wa dhati utatokea CCM..."
Si maneno yangu.
Ni utabiri wa siku nyingi sana.
Watu walitamani yatokee mwaka 2015 lakini HAPANA! Mazuri ya kudumu hayataki haraka!
 
Kwenye Biblia kuna simulizi moja nzuri sana ya maisha ya Yusufu katika nchi ya Misri. Baada ya Yusufu kuuzwa katika nchi ya Misri kama mtumwa Mungu alimtendea muujiza wa kutafsiri ndoto iliyowashinda wanajim na wenye maarifa wote wa Misri, wakati huo Yusufu akiwa mfungwa kwa kosa la kusingiziwa kutaka kubaka mke wa bwana wake. Ililazimu Yusufu kuitwa ikulu kuja kusaidia ktafsiri ndoto iliyomkosesha mfalme Farao amani. Mungu alimsaidia kutafsiri ndoto hiyo na mfalme kuridhia Yusufu kuwa waziri mkuu.

Ila baada ya Farao aliyemjua Yusufu na kuthamini mchango wake mkubwa na hekima aliyoitoa iliyosababisha nchi yote ya Misri kupona katika maangamivu ya njaa kuli iliyoikumba nchi, Farao aliyefuata hakumjali Yusufu na matokeo yake alimtesa, pia aliwatesa watu wake.

Nimefananisha kwa karibu sana na tukio kubwa lililompata kaka yangu Nape Nnauye, kwa hatua ccm ilipokuwa imefikia hakuna hata mwanachama na mtanzania mwenye hekimana busara anaweza kubeza juhudi za Nape, alifanya juhudi kubwa sana kuiokoa ccm kukubalika tena. Mzee Kikwete alikuwa kama Farao aliyemjua Yususfu na kujali juhudi na jitihada zake alizoonyesha, ila huyu Farao asiyemjua Yusufu anaona wanaccm wa zamani kama takataka na ameamua kwa dhati kuanza kuwatesa wale wote ambao Farao alimaliza muda wake aliwajali na kuwaheshimu.

Nahisi muda simrefu wapo wengi ambao hawateendelea kukubaliana na hili linalofanywa na Farao asiyemjua Yusufu. Naamini muda simrefu watu watashangaa kuona watu walioipenda ccm na wapigania ccm wakizodolewa waziwazi

Tutabisha ila tutayaona muda simrefu

Walio funguka macho mapema waliamua kukaa pembeni Kama si kukihama hicho Chama! Mkawabeza na kuwadhalilisha kwa maneno ya kejeli,sasa mmeyaona wenyewe!!
Hiki Si kile Chama kilichokuwa na upendo na Amani enzi hizo.Tulikuwa tunapita kifua mbele mbele Kama chipukizi au Umoja wa vijana wa CCM.
Leo mwenyekiti badala ya kuhubiri upendo ili hata waliokata tamaa kwa Chama warudi anakasirika kuona wana CCM wanataka kumjulia hali mpinzani aliyeko mahabusu!CCM haikuwa hivyo!!
 
Basi wewe ndiye mjinga zaidi maana sababu unazotoa hazina msingi. hivi hujui kama personal contributions matters a lot?
siku zote self contributions ina maana sana katika taasisi yeyote sasa wewe kwa uelewa wako mdogo hutambui hilo. Hilo unalosema si lazima Nape awe waziri kwa sababu alitoa mchango fulani pia si lazima Makonda awe RC kwa kuwa tu anapendwa na baba yake. Narudia tena uelewa wako ni mdogo, hiyo sababu unayosema waziri hawezi kuwa anaitwaitwa ni wapi alipoitwa bila kuwa na shughuli maalum? je umesahau kuwa Rais aliimiza sana watendaji wa serikali kutokubaki maofisini? naongeza tena una tatizo la uelewa ni wapi Nape alitoa uamuzi wa swala la Makonda? go back and review all clips. Najua Biblia ni neno la Mungu ebu nionyeshe andiko nililoweka kwenye thread yangu, pia Farao alikuwa mwanadamu wa kawaida vivyo hivyo na Yusufu what's wrong to mention them? ni wapi Biblia imekataza tusiitumie kuelezea mambo yanayoshabiana na tukio lililotoke?

Nsfikiri bado wewe!!
 
Kwenye Biblia kuna simulizi moja nzuri sana ya maisha ya Yusufu katika nchi ya Misri. Baada ya Yusufu kuuzwa katika nchi ya Misri kama mtumwa Mungu alimtendea muujiza wa kutafsiri ndoto iliyowashinda wanajim na wenye maarifa wote wa Misri, wakati huo Yusufu akiwa mfungwa kwa kosa la kusingiziwa kutaka kubaka mke wa bwana wake. Ililazimu Yusufu kuitwa ikulu kuja kusaidia ktafsiri ndoto iliyomkosesha mfalme Farao amani. Mungu alimsaidia kutafsiri ndoto hiyo na mfalme kuridhia Yusufu kuwa waziri mkuu.

Ila baada ya Farao aliyemjua Yusufu na kuthamini mchango wake mkubwa na hekima aliyoitoa iliyosababisha nchi yote ya Misri kupona katika maangamivu ya njaa kuli iliyoikumba nchi, Farao aliyefuata hakumjali Yusufu na matokeo yake alimtesa, pia aliwatesa watu wake.

Nimefananisha kwa karibu sana na tukio kubwa lililompata kaka yangu Nape Nnauye, kwa hatua ccm ilipokuwa imefikia hakuna hata mwanachama na mtanzania mwenye hekimana busara anaweza kubeza juhudi za Nape, alifanya juhudi kubwa sana kuiokoa ccm kukubalika tena. Mzee Kikwete alikuwa kama Farao aliyemjua Yususfu na kujali juhudi na jitihada zake alizoonyesha, ila huyu Farao asiyemjua Yusufu anaona wanaccm wa zamani kama takataka na ameamua kwa dhati kuanza kuwatesa wale wote ambao Farao alimaliza muda wake aliwajali na kuwaheshimu.

Nahisi muda simrefu wapo wengi ambao hawateendelea kukubaliana na hili linalofanywa na Farao asiyemjua Yusufu. Naamini muda simrefu watu watashangaa kuona watu walioipenda ccm na wapigania ccm wakizodolewa waziwazi

Tutabisha ila tutayaona muda simrefu
Unajidanganya sana.Watanzania na hasa wana ccm kesho watamgeuka nape sana!Sio kwa nchi hii,unafiki ndio unaitwa uzalendo.Bado kidogo utaona nape anaitwa kujieleza na lazima atafukuzwa uanachama na utawaona wale wa magwanda wanavyoimba na kucheza kufurahia "wasaliti"kuondolewa.Kisasi lazima!Mark my words
 
Yusufu alitakiwa anyamaze asiongee popote baada ya nafasi yake kupewa MTU. Farao ana nafasi tele kama alivyompa mama take LeKubwas baada ya kuufyata.
Huu woga mpaka lini ktk taifa letu sote ebu angalia wasaidizi walivyo kimya kwa kuogppa na huku chombo kikienda mlama
 
Ujinga wako ni kueleza hbr za mchango wa mtu kwny jambo fulani km kinga ya kutochukuliwa hatua hata km amekosea, pili Nape si lazima awe waziri kwa vile tu ana mchango fulani, tatu Biblia ni neno la Mungu hutafsir Biblia km unavyotafsiri gazeti la udaku, nne Nape km waziri anapaswa kuheshimu nafasi hiyo huwezi kuwa unaitwa itwa kwny matukio mnajadiliana kwny tukio halaf unatoa uamuzi bila hata kujipa muda wa kupima kwa undani uliyoelezwa na mahusiano na kazi yako, Nape alikosa hata kuheshimiwa mara cjui steve nyerere kamtaja kwny mambo gani..wanauona km mwenzao tu wakati yeye ana dhamana kubwa na anastahili kuheshimiwa, angalia tofauti sasa km huyu aliyechaguliwa hao wasanii watampanda kichwani..
Kiongozi yupo kwa ajiri ya watu ikiwa watu hawakufikii basi wewe sio kiongozi wao
 
Ebu nionyeshe ujinga wangu katika andiko langu.. Pia nionyeshe kosa la Nape liko wapi? na mwisho nisaidie ni wapi ambapo imekatazwa tusitumie maadniko katika kuelezea yale yanayotusibu, la sivyo utakuwa mjinga mara mbili maana utachanganya huo ujinga uliouona kwangu plus wa kwako
Mi nimeona kosa moja tuu. Pale uliposema "mfalme Farao" kana kwamba Farao ni jina la mtu
 
Hizo ni porojo tu. Hakuna mtawala angependa aliyemteua akimpinga wazi wazi hazarani.
Hivi ile ripoti alitumwa? Alimjulisha Sizonje Kama anataka kuunda Tume? AU ndo ulimwengu wa kambare kila mmoja anazaliwa na sharubu.

Nape kavuna alichokipanda na ni hiari yake kubaki CCM au kuhama anachotakiwa kutambua nawe pia ni CCM ni Zaidi ya Nape na Kila zama na Kitabu chake.

Nape hana nata chembe ya kufananishwa na Nabii Yusufu (A. S) Handsome Boy aliyebarikiwa ni Nusu ya Uzuri wote wa Dunia.

Isitoshe hizo kazi alilipwa nafikiri
 
Akikosea au akihujum au akifisadi ni bora kuwafanyia sherehe kubwa waliopigania chama ni jambo jema sana
 
I think you have either a psychological problem or the lack of understandings. its true that every scripture is breathed by God and profitable for doctrine, so what is the definition of doctrine? because it seems that I'm just arguing with the person who has a very shallow understandings. I have used an example of Pharaoh and Joseph to express my ideology, so what was wrong? you are trying to use the Bible to defend your misunderstood of precaution to the Pharaoh who didn't acknowledge Joseph. My brother its better if you don't understand something to leave it
Ndg Mimi nafikili hukunielewa. Mimi nakuunga mkono ila nilikua napinga wote wanaokupinga wewe kutumia mistali hiyo kutufunza. Sorry
 
Hofu imetawala Farao mkali hasamehi. Ukijidai u jasiri kibarua kinaota nyasi.
tatizo waliopiga kampeni, walikaa macho kwa kutega masikio kusikilizia fadhila. mkuu alilijua hilo akawapa fadhila, ila alishawaonya serikali atakayounda itakua tofauti, alikosea sana kujiamini na kutegemea yeye ni nguzo ya CCM hawezi kuguswa. mkuu wake anateua anatoa majukumu, yeye anaanzisha vita na wateuliwa wenzake...?uongozi wa huyu jamaa hamna kuleana. bado wapo wengi tu wa awamu iliyopita wataondolewa wasipobadilika.
 
Back
Top Bottom