Faraja Nyalandu ametisha sana

Duh! Cencorship kali tayari ishapita. Comments nyingine zimeshafutwa wakati wala hazikuwa mbaya wala negative. Tatizo liko wapi?

Shule Direct is a good program na Mrs. Nyalandu amejitahidi sana japo kuna masahihisho ya hapa na pale ambayo yanahitajika. That's all!
 
Nimeipenda sana idea yake lkn sijui kama hawa watoto wetu watakubali kutoka huko Instagram wakatumie bando zao kwa mambo ya msingi [emoji56]
 
huyu sister kwa kuanzisha mtandao wa Shule Direct ameonyesha kuwa mashindano ya ulimbwende yanaweza kuwa na faida. nimejiunga huko najifunza kiingereza.
View attachment 430003
Safi sana ni moja ya mamiss ambao wanajielewa sana hata mashoga wake wote wanajielewa...lakin kule insta kuna mwingine analaumu nabadilisha mashoga kila cku lakin wote wanafki huku ajui umri unakimbia tu kila cku vituko
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Haha kazi yao wanafanya na Shilawadu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…