Faraja Nyalandu ametisha sana

Faraja Nyalandu ametisha sana

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,994
huyu sister kwa kuanzisha mtandao wa Shule Direct ameonyesha kuwa mashindano ya ulimbwende yanaweza kuwa na faida. nimejiunga huko najifunza kiingereza.
upload_2016-11-6_13-43-11.png
 
Duh! Cencorship kali tayari ishapita. Comments nyingine zimeshafutwa wakati wala hazikuwa mbaya wala negative. Tatizo liko wapi?

Shule Direct is a good program na Mrs. Nyalandu amejitahidi sana japo kuna masahihisho ya hapa na pale ambayo yanahitajika. That's all!
 
Nimeipenda sana idea yake lkn sijui kama hawa watoto wetu watakubali kutoka huko Instagram wakatumie bando zao kwa mambo ya msingi
 
huyu sister kwa kuanzisha mtandao wa Shule Direct ameonyesha kuwa mashindano ya ulimbwende yanaweza kuwa na faida. nimejiunga huko najifunza kiingereza.
View attachment 430003
Safi sana ni moja ya mamiss ambao wanajielewa sana hata mashoga wake wote wanajielewa...lakin kule insta kuna mwingine analaumu nabadilisha mashoga kila cku lakin wote wanafki huku ajui umri unakimbia tu kila cku vituko
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Haha kazi yao wanafanya na Shilawadu
 
Back
Top Bottom