Faraja kwa single mothers wote

Faraja kwa single mothers wote

primolut N

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
391
Reaction score
317
Kwanza naomba niseme wazi mimi ni mwanaume. Naiandika hii thread nikiwa na masikitiko makubwa mno hasa baada ya kisa cha huyu dada.

Alikuwa kuolewa na mchizi mmoja akawa analazimisha afanye naye mapenzi kinyume na maumbile ndo mwanzo wa kuwa single mama! Sasa alaumiwe nani hapo?

Ushauri ni kuwa endeleeni na maisha yenu tu.

Dedication: rockabye


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom